akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,193
- 1,810
Koma kutaja jina la Mungu ktk dhambi alizosema anazichukiaaaa na akashusha moto kabla ya judgment day, kuachiwa na polisi haimaanishi upo huruuuuuu! Either umepewa dhamana na uchunguzi unaendelea, anytime unapelekwa mahakamani ukapigwe miaka 30 jelaaaaa!GOOD NEWZ!!!
Noel na Kelvin wameachiwa huruuuuu,
David aliachiwa tangu janaaa.
Ahsantee Jah kwa