Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sijasikia CAG akisema Wananchi wapimwe mikund* ila kasema kuwa kuna upigaji wa kutisha kwenye hii serikali.
 
Hawana akili. Halafu wanalilia katiba mpya.
Kazi ipo kwa kweli, kuna mtu nimemfurusha twitter huko, tulianza kubishana public, baadae akanijia DM asee nimemfurushaaa hadi kasema mie ni kibokooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwenu ni wapi mkuu?
Nina hamu ya kula samaki aliye chinjwa
Cheki nbobo natuma location.
Nikiweka hapa location wale makirikiri watakuwa wa kwanza kufika bila kualikwa🤣
 
Katiba mpya ya wapi, watu wasiojielewa hawa!
Jitu linataka mashoga wauwawe ukute mtoto wake au ndugu yake wa karibu ni shoga halafu hajui.
Siku akiibuliwa shoga kwenye familia zao ndo watatia akili.

Tutafute chanzo cha hili tatizo kuliko kuwa hukumu maana wanazidi kuongezeka.

Na kama kweli Tanzania inapinga ushoga sheria zifatwe.
 
Tatizo nnacho kizungumzia mie nahisi hamjataka kukielewa au mliamua kutoka nje ya nilicho kisema.

Mie nazungumzia suala la watu kukamatwa kwa kuhisiwa na kutuhumiwa, huyo Robert alisema ktk hili suala waende mbali zaidi wakamatwe hadi wale wanaongeaa sauti ndogo, mwendo, haiba etc.

Ndipo mie nikampinga, kuwa hiyo sio sawa, kwani kuna watu wako hivyo na wala sio mashoga, je wakifanyiwa hivyo huoni wanakua wameonewa?? Yeye ndo alikataa alisema hakuna watu wa hivyo, na sehemu zote alizokaa hajawahi kuwaona, mie nkamuambia kuwa wapo wanaume wamezaliwa na hormonal imbalances, wana sauti ya kike, miondoko, haiba, hulka, ila sio mashoga, yeye anakataa hao watu hawapo kwa kuwa yeye hajawahi waona.

Sasa mie nipohusishaa hormonal imbalances na homosexuality wapiiiii???
Sawa, nimekuelewa.

Kuna changamoto moja hapa. Duniani kote, Maadili' au Haki' hupimwa kwa kigezo cha 'Cause-effect' yaani kinachofanyika hupelekea MADHARA gani. Suala la haiba ya Kike kwa mtoto wa Kiume, halijakaa sawia kuonekana ni la kawaida hata kama linahusisha Mabadiliko ya Asili ya Kibaolojia.

Tupo kwenye Ulimwengu ambao, taarifa zinasambaa kwa kasi, hii 'Info- dissemination' hutumika kama Silaha dhidi ya jamii fulani ili ku dhoofisha mifumo ya kitamaduni ili jamii hiyo itawalike.

Hili halina haja ya maelezo mengi, hivyo basi, ikiwa haiba ya Kike kwa Mwanamume, itabeba sura ya kawaida kwa jamii zetu, bila kujali kisababishi ni nini, basi Jamii hususan kwa mtoto wa Kiume haipo Salama tena.

Tujiulize, why is gayism and same sex aside from being unnatural, kwanini Ajenda hizi zinapokea Promotions? What if kama tuki promote Femininity in Men na likawa jambo la Kawaida?
Its about Social Secourity. Tuwe rational tu

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
TUTASHUGHULIKA NA NINYI WAHUNI WA SAMIA KWA MAPANA NA MAREFU YAKE.

ZILE PROPAGANDA ZA KUKWEPESHA MJADALA WA UFISADI WA CAG KWA GHARAMA YA KUWAUMIZA WATU WASIO NA HATIA ZIMEFIKA MWISHO.

TUTACHUKUA HATUA ZOTE ZINAZOWEZEKANA IKIWEMO KUHIFADHI USHAHIDI WOTE NA KUANDAA NYARAKA RASMI NA KUZIWASILISHA KWENYE MAMLAKA ZINAZOSHUGHULIKA NA MADIKTETA UCHWARA.

ILI MKIBINYWA MAKALIO KIDOGO, MPIGWE VIKWAZO MNYOOKE NA KUTUBU.

PAMOJA NA HAYO TUTAENDELEA KUWAKEMEA NA KUWAZUIA KWA NAMNA ZOTE ZINAZOWEZEKANA.

HAMTASHINDA.
WE PUNGA?
 
Na wewe nenda ukaingiziwe UUME ili upate raha.

Hata ujui unatetea kitu gani.

Watu wanapinga hao ndugu zako kufanya USHOGA(kuingiziwa UUME) ila wewe unakuja unawatetea means na wewe ni NGAPULILA aka RAINBOW acheni ufirauni nyinyi MAKOCHO.

Mademu wazuri kibao lakini inakuwaje unakuwa PAPAI? Kataa USHOGA...USHOGA NI LAANA.
 
Washazoeshwa kukandamizwa ndo maana hawajishughulishi kujielimisha
Yaan wanashindwa hata kupata elimu kidogo kuhusu masuala mtambuka, wanaishia kushabikia unyanyasaji na ukandamizwaji wa hakii.
 
sheria ipo bhana si wanatumia ile ni kosa la jinai kufanya mapenzi kinyume na maumbile?
 
Sawa, nimekuelewa.

Kuna changamoto moja hapa. Duniani kote, Maadili' au Haki' hupimwa kwa kigezo cha 'Cause-effect' yaani kinachofanyika hupelekea MADHARA gani. Suala la haiba ya Kike kwa mtoto wa Kiume, halijakaa sawia kuonekana ni la kawaida hata kama linahusisha Mabadiliko ya Asili ya Kibaolojia.

Tupo kwenye Ulimwengu ambao, taarifa zinasambaa kwa kasi, hii 'Info- dissemination' hutumika kama Silaha dhidi ya jamii fulani ili ku dhoofisha mifumo ya kitamaduni ili jamii hiyo itawalike.

Hili halina haja ya maelezo mengi, hivyo basi, ikiwa haiba ya Kike kwa Mwanamume, itabeba sura ya kawaida kwa jamii zetu, bila kujali kisababishi ni nini, basi Jamii hususan kwa mtoto wa Kiume haipo Salama tena.

Tujiulize, why is gayism and same sex aside from being unnatural, kwanini Ajenda hizi zinapokea Promotions? What if kama tuki promote Femininity in Men na likawa jambo la Kawaida?
Its about Social Secourity. Tuwe rational tu

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Ouk sawa nimekuelewa kwa maelezo yako

Kwahiyo natakaa wee uniambie nini kifanyike juu ya watu wenye hormonal imbalances??

Yaan nipo hapa kusubiru jibu, maana nilishawahi uliza hadi kwa DR mwenye masters yake kutoka MUHAS, lakini hajanijibu ipasavyoo. Hope wee leo utatoa jibu mujatabu mnoo.

Nasubiri.
 
Sheria za nini acha uboya ndugu tundu la nyuma kazi yake ni kutoa tu wastage sio kingine wala kufanya mapenzi asili inasemaje mpaka kwani. Wacha wakamatwe tuu wote.
 
Wewe ni shoga?

Sisi tutakukamata tutakuingizia vidole viwili ukiwa umeinama vikipita ni nyundo 30

Acha ushoga
Imagine unavyochukia ushoga halafu adui yako mwenye ushawishi autumie ushoga kukuadhibu.

"Mahakama imetoa amri HIMARS apimwe iwapo sio shoga"

Hii ndio curiosity ya mleta mada.
 
Imagine unavyochukia ushoga halafu adui yako mwenye ushawishi autumie ushoga kukuadhibu.

"Mahakama imetoa amri HIMARS apimwe iwapo sio shoga"

Hii ndio curiosity ya mleta mada.
Unakubali tu sababu sio shoga hata penseli haipiti.
Kwa shoga huna sababu ya kujisumbua akiinama tu inaonesha uhalisia
 
Unakubali tu sababu sio shoga hata penseli haipiti.
Kwa shoga huna sababu ya kujisumbua akiinama tu inaonesha uhalisia
Na utu wako kwenye jamii? Utadeal vipi na kinyaa cha kuhusishwa na kupimwa kinyeo chako? Utasimama vp kwa wanaokuamini kuwaeleza kwanini ulihisiwa wewe ni shoga?

Binafsi naona Pawepo na sheria inayoidhinisha vigezo vitakavyotumika kuhitajika kupimwa, otherwise hili jambo likitumika vibaya kuna watu wataumizwa. Usishtuke ukikutana na:

"Mahakama yaamuru marinda ya kiongozi wa upinzani........yapimwe"
 
Back
Top Bottom