Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
MkuuPolisi ndiyo chombo pekee chenye mamlaka ya kuchunguza uhalifu na wahalifu. Ikiwemo kupekua sehemu za siri na kupeleka kwa wataalam washukiwa wakapimwe sehemu za siri.
Unakosea sana. Polisi hawezi kukupekua utu wako bila hati ya kimahakama. Hata wanapokulazimisha waingie kwenye mawssiliano yako ninsharti wawe na ruhusa ya mahakama behind.
Kuhusu upelelezi kuna utaratibu wake ambao wanapaswa kuufuata na huwa hawaifuati na hilo limezalisha kizazi kama wewe mnaoamini polisi wanaweza kufanya lolote wakati kisheria ni watekelezaji wa sheria hususani zilizotafsiriwa na mahakama