Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mwakyembe akishashindwa uchaguzi tutampelekea Fuso tano zilizojaa Mashoga Jimboni Kyela ili wakakeshe usiku kucha kwa furaha na kunywa na kukatika kwa nderemo vifijo na hoi hoi.
 
Tofautisha Sauti ya kike na kuongea kiume Mkuu.
Nimesema alikua na tone ya kike nikimaanisha ile ongea yake ni kikike na sio kiume.
(Sijui kama nimetumia neno tone sahihi) ila nadhani umenielewa.

Huyu aliebadilika ukubwani ni ile kukaa na me sana alipofika sekondari, huko primary alikua anacheza na vitoto vya kike tu.
 
Mwakyembe akishashindwa uchaguzi tutampelekea Fuso tano zilizojaa Mashoga Jimboni Kyela ili wakakeshe usiku kucha kwa furaha na kunywa na kukatika kwa nderemo vifijo na hoi hoi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wala usije dhani kwa kuwa ni Dokta wa MUHAS basi hajui, hapana, au huenda jibu lake halina uhusiano na Masuala ya Afya, ni issue ya Kijamii,

AU

Mwengine asikujibu kwa sababu hakuna mantiki ya kujibu. Suala la nini kifanyike ni kubwa kuliko namna naweza kukujibu, in short sielewi angle ya swali lako. So sitatoa jibu

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia sheria zote za nchi sijaona mahali popote panaposema kwamba usagaji ni kosa la jinai.

Hata ile sheria namba 16 kifungu namba 154 "inayosemekana" kuwa ni "sheria dhidi ya ushoga" haisemi chochote kuhusu usagaji.

Kwa kanuni za jinai, kitu chochote ambacho halkijazuiwa na sheria ni halali. Hivyo basi, ndio kusema kwamba usagaji ni ruksa nchini?

Kama tunapigana na mapenzi ya jinsia moja, kwanini tunawashambulia mashoga peke yao?

Je, si kila mtu ana haki ya usawa mbele ya sheria? kwa nini wengine wahukumiwe na wengine waachwe kwa "dhambi" ile ile? Je, huku si kukiuka ibara ya 12 (1) ya katiba ya nchi?

Je, kutunga sheria ya kuwashambulia watu fulani na kuwaacha wengine kwa kosa lile lile, si kinyume na ibara ya 13 (2) ya katiba ya nchi?

Kama usagaji ni ruksa, kwanini mashoga washambuliwe?

Kama sheria namba 16 inazuia makosa ya ufiraji, kwanini wanawake wanaofirwa hawakamatwi? kwanini mabasha wanaofira hawakamatwi?

Je, hii ni sheria mahususi ya kuwashambuliwa watu fulani pekee? Kwanini?

Kuna maelezo yoyote kwanini usagaji ni ruksa nchini?
 
Ukiwa unataja vifungu vya sheria jitahidi kuvinukuu ili iwe rahisi kwa msomaji kuelewa na kuchangia
 
Hivi, tunatumia kugezo cha dini na tafsiri ya dhambi kupingana na hili janga, vipi kama mtu si muumini wa dini? Maana kuna wengine hata hawaamini kama Mungu yupo, je, tutatumiaje dini zetu kuwahukumu? Nawaza tu! Mimi dini yangu inakataza, namjua mtu ana hizi issue lkn mtu mwenyewe haamini dini wala uwepo wa Mungu. Naanzaje kumuelezea kuwa hii ni dhambi anielewe?
 
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbe
Mm nikigundua unaliwa nje nitaumia lkn sitakua na namna nyingine zaidi ya kuachana haijalishi tuna watoto au hatuna,wanaume ni nature ndio inatufanya tuwachit
 
Man mlifanya jambo la maana sana,hata mm nikikutana na situation kama hio nina uwezo wa kufanya ulichofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…