Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mwakyembe akishashindwa uchaguzi tutampelekea Fuso tano zilizojaa Mashoga Jimboni Kyela ili wakakeshe usiku kucha kwa furaha na kunywa na kukatika kwa nderemo vifijo na hoi hoi.
 
Tofautisha Sauti ya kike na kuongea kiume Mkuu.
Nimesema alikua na tone ya kike nikimaanisha ile ongea yake ni kikike na sio kiume.
(Sijui kama nimetumia neno tone sahihi) ila nadhani umenielewa.

Huyu aliebadilika ukubwani ni ile kukaa na me sana alipofika sekondari, huko primary alikua anacheza na vitoto vya kike tu.
 
Mwakyembe akishashindwa uchaguzi tutampelekea Fuso tano zilizojaa Mashoga Jimboni Kyela ili wakakeshe usiku kucha kwa furaha na kunywa na kukatika kwa nderemo vifijo na hoi hoi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ouk sawa nimekuelewa kwa maelezo yako

Kwahiyo natakaa wee uniambie nini kifanyike juu ya watu wenye hormonal imbalances??

Yaan nipo hapa kusubiru jibu, maana nilishawahi uliza hadi kwa DR mwenye masters yake kutoka MUHAS, lakini hajanijibu ipasavyoo. Hope wee leo utatoa jibu mujatabu mnoo.

Nasubiri.
Wala usije dhani kwa kuwa ni Dokta wa MUHAS basi hajui, hapana, au huenda jibu lake halina uhusiano na Masuala ya Afya, ni issue ya Kijamii,

AU

Mwengine asikujibu kwa sababu hakuna mantiki ya kujibu. Suala la nini kifanyike ni kubwa kuliko namna naweza kukujibu, in short sielewi angle ya swali lako. So sitatoa jibu

Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia sheria zote za nchi sijaona mahali popote panaposema kwamba usagaji ni kosa la jinai.

Hata ile sheria namba 16 kifungu namba 154 "inayosemekana" kuwa ni "sheria dhidi ya ushoga" haisemi chochote kuhusu usagaji.

Kwa kanuni za jinai, kitu chochote ambacho halkijazuiwa na sheria ni halali. Hivyo basi, ndio kusema kwamba usagaji ni ruksa nchini?

Kama tunapigana na mapenzi ya jinsia moja, kwanini tunawashambulia mashoga peke yao?

Je, si kila mtu ana haki ya usawa mbele ya sheria? kwa nini wengine wahukumiwe na wengine waachwe kwa "dhambi" ile ile? Je, huku si kukiuka ibara ya 12 (1) ya katiba ya nchi?

Je, kutunga sheria ya kuwashambulia watu fulani na kuwaacha wengine kwa kosa lile lile, si kinyume na ibara ya 13 (2) ya katiba ya nchi?

Kama usagaji ni ruksa, kwanini mashoga washambuliwe?

Kama sheria namba 16 inazuia makosa ya ufiraji, kwanini wanawake wanaofirwa hawakamatwi? kwanini mabasha wanaofira hawakamatwi?

Je, hii ni sheria mahususi ya kuwashambuliwa watu fulani pekee? Kwanini?

Kuna maelezo yoyote kwanini usagaji ni ruksa nchini?
 
Ukiwa unataja vifungu vya sheria jitahidi kuvinukuu ili iwe rahisi kwa msomaji kuelewa na kuchangia
 
Ushoga sio dhambi ya kawaida na dhambi nyingine. Hiyo ni dhambi iliyopitiliza, hicho kitendo ni kumkufuru mwenye enzi Mungu. Ushoga ni laana, ambayo inaila taifa na dunia kwa ujumla, majanga na magonjwa ya ajabu yasiyoeleweka ni kwa sababu ya vitendo hivi vichafu.

Bora watenda dhambi wakitubu watasamehewa ila sio wanaomkufuru Mungu.
Hivi, tunatumia kugezo cha dini na tafsiri ya dhambi kupingana na hili janga, vipi kama mtu si muumini wa dini? Maana kuna wengine hata hawaamini kama Mungu yupo, je, tutatumiaje dini zetu kuwahukumu? Nawaza tu! Mimi dini yangu inakataza, namjua mtu ana hizi issue lkn mtu mwenyewe haamini dini wala uwepo wa Mungu. Naanzaje kumuelezea kuwa hii ni dhambi anielewe?
 
Ninyi mkipigiwa wake zenu mnaumia kumbe
Mm nikigundua unaliwa nje nitaumia lkn sitakua na namna nyingine zaidi ya kuachana haijalishi tuna watoto au hatuna,wanaume ni nature ndio inatufanya tuwachit
 
Ushoga (USENGE) ni kitendo Cha kuingiliwa ama kumuingilia binadamu/mtu kinyume na maumbile.
Shoga ni mshiriki wa Hilo tendo eitha anaingiliwa au ana muingilia mwenzake kinyume na maumbile hiyo kwa jinsia ya kiume.

Naposema jamii inapenda "ushoga" Nina maanisha ndani ya jamii yetu Kuna wanaume tunaishi nao na michezo yao ndiyo hiyo kuwaingilia/kula kichuri/kufukua tope / wanaume wenzao hiyo ndiyo maana halisi ya jamii kupenda ushoga.

Kwa Nini nasema jamii inatetea mashoga?? Naam hapa nitatoa simulizi moja maridhawa.

Kuna kipindi Fulani mtoto wa anko wangu alikuwa anaolewa katika hiyo sherehe walikuja mashoga Kama watatu walivalia Madera ulipofika muda wa kutunza na wao wakifika waliomba wawekew nyimbo ya taarabu aise walichokifanya pale ni aibu sana wanazungusha viuno Kama wanawakw, watu walijaa nakuwapigia makofi na vigelegele.

Mimi na rafiki yangu tuliamua kuingilia Kati kwenda kuzima mziki, nilishika myk nikatangaza kuwa "sitaki kuwaona hawa mashoga kwani haileti tafsiri nzuri katika jamii"

Uliibuka mzozo mkubwa sana kwani kundi kubwa la watu lilifurahia sana lilitaka wale mashoga burudani iendelee.

Kiufupi wale mashoga waliletwa kutoka huko buguruni ndani ndani na Wala siyo wenyeji wa pale lakini jamii/kundi la watu liliwatetea sana, Mimi na rafiki yangu tulikaza msuli pale.

Mara zikaibuka stori kuwa tumekuja kuvuruga sherehe ya dada yangu/mtoto wa anko, alikuja mwenyekiti wa serikali za mitaa tukazozana nae aliamua kupiga simu polisi kuwa sisi tumakuja kuvuruga amani kwenye mtaa wake, ndipo Mimi na rafiki yangu tuliamua kutoweka eneo hilo/ kwenye sherehe hiyo kwa kuhofia kubambikiwa kesi zisizo na mashiko.

Sasa kwa picha hiyo ni dhahiri jamii inatetea mashoga waendelee kufanya upumbavu wao, hata kwenye show za wasanii wakubwa huwa wanapandisha mashoga na mashabiki wanapiga kelele kuonyesha wanafurahia kitendo hicho Cha mashoga kumwaga radhi mbele yao.

My take, ushoga ni ngumu kuisha Ila utaendelea kukua kwa kasi maana jamii, inapenda ushoga nakutetea ushoga hatupaswi kupiga kelele kwa serikali wakati sisi huku chini tunaufurahia ushoga.
Man mlifanya jambo la maana sana,hata mm nikikutana na situation kama hio nina uwezo wa kufanya ulichofanya
 
Back
Top Bottom