Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Elimu ya ujinsia itolewee, hili ndio suluhisho.
 

Aliuawa ni nani? Mdogo wake shonza au huyo mmama?
 

Shule gani hiyo ili tusipeleke watoto huko?
 
Huyo mama alikua mtu wa GGM sijajua kama alipoteza kazi pale na alikua don
So yawezekana ni mambo za madini au mambo za kusagana
Wanadai inawezekana ni wivu wamapenzi maana alikuwa na mademu wengi
 
Huyo mama alikua mtu wa GGM sijajua kama alipoteza kazi pale na alikua don
So yawezekana ni mambo za madini au mambo za kusagana
 

Attachments

  • Screenshot_20230427-135811.png
    42.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230427-135835.png
    239.9 KB · Views: 7
Muda wetu wa kuishi
Humu duniani ni mdogo Sana! hebu jipe raha mwenyewe Kwa kula, kunywa, Kuvaa, kulala unono!
Muda wa kupinga wanaosengeka na kusagana haukupi kula, kunywa, Kuvaa, Kulala unono na mambo Kama hayo[emoji145]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Haswaaaah
 
Binti anataka haki ya kuwasugua wanawake wenzake !! naiona na midume nayo eti inataka haki ya kuinamishwa na midume mnyenzao - 😳 😳
 
Hii vita ya hawa washenzi kwa hapa bongo naona hatunayo sirias kabisa,nilitegemea tungetunga sheria kali kwa kila afanyae na kuhisiwa,siku ili janga likija kuwa kubwa nchini hatutakuwa na lakufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…