Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Acheni kujusfify usenge wenu mnaoufanya.

Unaanzaje kumlinganisha mwanaume anayefanya michezo ya kisenge na anayegonga malaya pale Tandika kwa wahaya au Riverside?
Biblia na Quran Haina grading system ya dhambi

Kwamba hii ni kubwa na hii ni ndogo
 
Mwenye tamaa ya pesa hata umpe elimu gani bado ataingia kwenye tamaa tu
 
Acheni kujusfify usenge wenu mnaoufanya.

Unaanzaje kumlinganisha mwanaume anayefanya michezo ya kisenge na anayegonga malaya pale Tandika kwa wahaya au Riverside?
Hakuna dhambi kubwa wala ndogo kaa utambue hilo japo kufira imewekwa kinamna fulani uone ni dhambi kubwa zaidi ila zote ukitenda kama unaamini kwenye dini basi ni dhambi
 
Unajua watanzania wengi ni wajinga sana! Hivi huzijui tabia za boda boda za uongo na kunogesha stori ili uwe mteja wake?

Haya hiyo stori aliyokwambia na Mimi wa huku dar nishawahi kuambiwa na boda wa huku hivyo hivyo bila kukosea hata neno! Tujifunze kupembua mambo sio Kila unaloambiwa ushakimbilia kuwambia watu. Alafu mbona kama Kuna kikampein Cha kulazimisha kwamba ushoga umeenea sana?? Mnaajenda gani nyie?? Mbona sisi huku mitaani hatuwaoni hao mashoga wa kiwango hicho mnacho lazimisha Kila siku???
Jamani tusipumue!!!
 
Kalale kwenye vyumba vyao uone wanaume wanavyofirika humo
 
Ni upumbavu wao tu sidhani kama kuna kitu kama hicho
 
Naona mna piga sana kelele sana kama mtu hatamani mwanamke , hata umpe achezewe na mwanamke kwa kiasi gani hawezi simamisha sababu hana kabisa hisia na mwanamke na mkumbuke kwamba huyu mtu ana jitahidi sana kwa nguvu zote aweze kuwa kama wengine kwa kuweza kutaka kufanya mapenzi na mwaname lakini wapi mtarimbo doro , sasa mnataka afanye nini wakati mnajuwa kabisa kwamba huwezi shindana na nguvu ya mwili kwenye matamanio ya kingono? Utakuta mwanaume huyu akiona paja tuu la mwanaume mwenzake ana weza hata akakojoa kwa utamu nao usikia mnadhani mtawezaje mbadilisha huyo mwanaume arudi kutamani mwanamke?Nani kati yenu ana weza ishi bila kufanya mapenzi kujizuia ny*ge ?
 
Hakuna ukweli wowote hapo siweze eleza zaidi ila hakuna msisimko wowote zaidi ya maumivu tuu ya kutanuliwa marinda na kuvumilia sababu ya unaye fanya naye ume mkubali moyoni kwamba yale maumivu ni moja ya kujifariji kwamba una mpa mtu utamu , Vijana msiingie kwenye ku ***** hakuna raha yoyote , kama unashindwa sana kuvumilia nyege fanya romance , ila usiharibu marinda yako bure kwa kudhani kuna utamu wa ajabu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…