Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa nini baadhi ya mataifa ya Africa wana criminalize ushoga??
Kwa nini ushoga unafanywa jinai?
Maddili yao,tamaduni zao,ushoga unatishia humanity...ukinoga na ikawa kawaida,watu watakua extinct
 
Maddili yao,tamaduni zao,ushoga unatishia humanity...ukinoga na ikawa kawaida,watu watakua extinct
Kwa serikali za nchi za Ki Africa zinaogopa ushoga ukiwa jambo la kawaida raia wake wengi watajiingiza katika ushoga, wataacha kuzaliana na hivyo kupelekea kutoweka kwa kizazi na binadamu katika nchi zao?
 
Askari wao, kwa asilimia kubwa, wameisha'bunguliwa' na hilo pepo, kwahiyo, ili ku'balance' mambo, wanalazimisha na majeshi ya wenzao yafanane na lakwao! PERIOD!
😅
 
Nimewahi kuona akina Mama ntilie wakifunika wali na Ugali kwa kwa kutumia Plastics SCARY!

Mashoga wengi ni Victims wa BPA hii ni hatari.
 
Next time ukijisikia hamu ya kufirwa ujue BPA inafanya kazi.
 
Kwa kuwa ni swala lipo katika jamii kwa mda mrefu, huwezi kuchukuwa uamuzi wa haraka kama Museveni. Ni binadamu katika jamii, wamechagua hiyo starehe na ni haki yao kimsingi. Jibu ni kwamba nchi za magharibi wana uwezo mkubwa wa kufikiria ndio maana wakatumia "haki za binadamu". Naona Afrika dini imewatawala sana na kushindwa kuamua.
 
Museveni amekurupuka sana, Samia aanze kwanza na marufuku ya BPA Tanzania Makampuni ya Plastics na Vinywaji yaangalie mbinu nyingine.
 
Ukiangalia zaidi unakuta Mashoga wamejaa Mijini zaidi kuliko Vijijini nadhani Vijijini watu hawatumii Plastic sana.

Utafiti ufanyike kabla hoja ya Wabunge vilaza wa CCM ya kuwaua Mashoga haijapitishwa kuwa sheria.
 
Kwanza ni kupunguza idadi ya watu haswa Africa na hapa namaanisha manii nyingi zikipotea kwa njia kondom mwanaume kwa mwanaume au mwanamke kwa mwanamke au madawa ya P2 na mengineyo yanayodhibiti ongezeko la watu
Pili ni kuharibu kizazi cha waafrika ili kisiwe na kifra nzuri yaani welevu umahili na kupandikizwa elimu potovu
Tatu kuzitawala na kuzitumia rasilimali zote bila vizuizi
Nne shetani yupo kazini siku zimeisha nadhani hapa watakaonielewa ni wakiroho zaidi
Ni hayo tu
 
Wenyewe wanataka kulinda haki ya kila mtu. Hata sisi baada ya kujua huo ni ulemavu baada ya miaka tutawatetea. Kwa sasa hatuna uwezo wa kufanya utafiti huo tunaangalia tamaduni na mila tu basi. Wale wameenda mbali zaidi na kugundua kwamba huo ni ulemavu ingawa kuna wengine wengi wanatumia mwanya huo kushabikia huo ushezi. In short, wenyewe wapo kitetea haki ya watu
 
Nyara yangu kama Bunduki na kofia la chuma vilipo nipo hakuna wa kushika.
Linda sana Fikra zako mana hapo ndipo ulipo usalama wako.
 
Duuh....tumetegwa kila kona kwa sababu ya utegemezi wa serikali zetu, inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…