Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Halafu Kama ishu Ni wanyama. Mbona nao wanafanya?View attachment 2618241
Jaribu Ku Google upate maelezo Simba akifanya hivyo anakua ana maanisha nini kwa Dume mwenzie...kifupi hapo hamkazi isipokua anakua anampiga biti kuwa yeye ndio Mtemi wa eneo ilo.
Kuhusu vita ya mashoga sasa hivi wanapandishwa kizimbani kimya kimya kusomewa mashtaka...juzi nilikua Mahakama fulani nikawaona.
 
Ni vita ambayo Tanzania (Serikali) haiwezi kataa ushoga,bali haiwezi kubali ila watakwambia wanaheshimu haki za kila mtu.
 
Mahakama ipii hiyo?? Uongo mtupuu.
 
Haya umeongelea Simba... attachment nyingine kuhusu wanyama wengine mbona umeruka. Kuna ushoga Hadi kwa sokwe stadi zimefanyika
 
Kwa hiyo wakifanya Wanyama nawe wataka au me Sijaelewa 🙄
Ishu sio hii...watu wanatumia wanyama Kama kigezo...hoo binadamu mnashindwa na wanyama akili hoo hamna mnyama shoga. So nimeamua kuwaonyesha kua hizi story ni za uwongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…