Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

T
Ingia Wikipedia search homosexuality in animals soma. Soma na citations zote na reference zote. Afu nend kafanye control experiment mwenyewe. Hutaki acha. Mi sio mhubiri. Silazimishi.
Sawa kalia unachokijua wewe manake umeshindwa kufanya tafiti umekomaa kukopi kila unachokiona.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wananiachaga hoi mnoo.
Sahivi hata hawanisumbui, nshawaona hawana hoja, zaidi ya mhemko uchwara
 
Niambie nature ni nini usikimbie swali. Nature ni nini.
Kama umediriki kusema kwamba….
“ Nature is everything around us. Plants animals buildings stars zote hizo”.

Kwamba hadi buildings ni nature, sina cha kukusaidia🤣 go back to school. Tutaonana muda mwingine. I’m out.
 
Thibitisha kuwa Yupo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umwonaye hapo kwenye picha ni binadamu kama wewe na mimi aliyekwama chini ya kifusi cha udongo kwa zaidi ya miezi mitatu na amekutwa akiwa hai, sasa ebu nipe sababu za kisayansi zitakazokinzana na uwepo wa Mungu kwa tukio hili then mie nitaanzia hapo kukujibu .
 

Attachments

  • D8B0E714-D9F9-431E-94E0-CEB474983F5B.png
    157.4 KB · Views: 8
Hakuna genetic za ubakaji au ufataki pia. Hakuna genetic za kuua pia. So what's ur point hapa. We sio daktari so u have no knowledge on the human biology. Ukiwa una knowledge ndo urudi.
Hizo zote ni tabia ni ishu za maroho machafu
 
T

Sawa kalia unachokijua wewe manake umeshindwa kufanya tafiti umekomaa kukopi kila unachokiona.
Mi sijacopy chochote. Ndo maana mbwa anakula watoto wake lakini huwezi sema tufanye hivyo coz it's nature. That's my point. Hoja ya nature ni ya uongo.
 
Kama umediriki kusema kwamba….
“ Nature is everything around us. Plants animals buildings stars zote hizo”.

Kwamba hadi buildings ni nature, sina cha kukusaidia🤣 go back to school. Tutaonana muda mwingine. I’m out.
Nature ni all living and non living things. Hilo jengo limejengwa na mchanga cement ambayo Ni limestone rangi ambayo Ni mafuta which comes from organic matter. Everything is nature. We ndo urudi shule. Kwa Nini ukitupa taka barabarani unaambiwa unachafua mazingira. Soma environment topic kwenye geography darasa la tatu alafu urudi huku.
 
Huu ndio uthibitisho kuwa Mungu yupoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sitaki kucheka hapa.
 
Hii Ni sababu ya kijinga Sana. Watu wamekufa kwenye kifusi hicho hicho Ila mmoja kasurvive hence mungu yupo. Kama hujui kitu kaa kimya. Huyo Mungu si aokoe watoto million wanaokufa kwa njaa kila mwaka Kama ana haya maajabu kuliko kuchagua mtu mmoja mmoja. Kitu usichokielewa usimpandikize Mungu. La sivyo unamfanya huyo Mungu wako aonekane mchoyo na mbaguzi. Mtu akifa Mungu kamuita asipokufa Mungu kamuokoa Akiwa kilema Mungu kamuepusha kifo Akiwa mzima Mungu kambariki. Hebu tumieni akili na ulete hoja ya msingi. Coz hii hoja ni ya kijinga. Mungu awepo asiwepo bado watu watakufa na Kuna watu watapona. So sio uwepo wake. Mbona katuacha tokea enzi za kuongea kwa miti inayoungua na tumeenda freshi tu bila yeye na story za wayahudi za watoto.
 
Hayupo ndiyo kwa sababu haonekani.

Sasa wee km yupo mlete hapa tumuonee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna njia ngapi za kuthibitisha uwepo wa jambo mbali na macho kuona
 
Tatizo unaujuaji usio na faida. Mi nazungumzia nature we unazungumzia mazingira.
Kwa kifupi ni kuwa nature haitegemei uwepo wako ili iexist, nature ipo hata mwanadamu asipokuwepo.

Ukitaka kuelewa mambo kuwa humble usikaze fuvu kana kwamba unajua kila kitu.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…