Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Malizia "na soko lenu litakua salama"[emoji1787][emoji1787]
 
Nakubaliana nawe %101, nina ushahidi wa hili kutoka kwenye familia yetu
Nakubaliana nawe %101, nina ushahidi wa hili kutoka kwenye familia yetu
Yeah ndo hivyo Baba ana sauti mfano mm Kuna Dogo langu Yani mzee wangu asingekuwepo sjui mdogo wangu angekuwa wapi kwa sabab alikua na nidhamu mbovu, Yani mother alikua akiongea Dogo anamuangalia anachana naye lakin mzee wangu kidogo alikua mbabe akitoa sauti na vitisho kiburi kinashuka anarudi kwenye msitari,,,, Sasa Hawa single mother ndugu yangu duh hawana sauti kwa mtot wa kiume kwenye sherehe wapo nao sjui location wapo nao Yan mtoto anakua kimama mama anakosa hata Yale maadili mwishoe ndo Hawa wanakuwa walevi nk

Mungu aturehemu
 
Tunazungumzia Malezi ambacho ndo chanzo kikuu Cha haya Mambo ya ushoga coz mtot wa kiume akilelewa kimaadili ni ngumu sana kuingia kwenye mchezo michafu kama hiyo lakin pale malez yanapokuwa mabovu ndo kinakua chanzo Cha hayo kwaiy mtoa thread yupo sahihi malez mabovu yanatoka kwa wanawake
 
Swadaktaaaaaaa
 
Wanaume acheni kuwatongoza watoto wa kiume walio ktk hulka na silka ya kike, kwahyo wanaume hawa watoto walio lelewa ki kike ndo halali yenu kuwatongoza na kuwala?

Acheni unafiki, ushoga unafanywa, kukuzwa na wanaume wenyewee.
 
Sasa kama wanaua soko letu mbona tena mnatunanga ndio tunasababisha wawepo? Mna maana gani??
Sio kwa kupenda mkuu. Hakuna mzazi anataka mtoto wake awe hivyo, uwa inatokea tu ndio ukirudisha picha nyuma inakuta ni makosa ya kimalezi.
 
Ni raha sana kupata mtu wa kumsingizia/kumtupia lawama kwa matatizo yako yote.

Sisi hatutembei na mashoga, wanaotembea na mashoga ni wanaume wenyewe.
 
Wanaume acheni kuwatongoza watoto wa kiume walio ktk hulka na silka ya kike, kwahyo wanaume hawa watoto walio lelewa ki kike ndo halali yenu kuwatongoza na kuwala?

Acheni unafiki, ushoga unafanywa, kukuzwa na wanaume wenyewee.
Popote ulipo hebu chukua beleya moja unywe na unipe bill 🤣

Binafsi sipendi sana watu wa kushift blames, kila mtu awe responsible kwa makosa anayoyafanya. Sio mtu atongoze shoga huko aje anilaumu mimi.
 
Popote ulipo hebu chukua beleya moja unywe na unipe bill [emoji1787]

Binafsi sipendi sana watu wa kushift blames, kila mtu awe responsible kwa makosa anayoyafanya. Sio mtu atongoze shoga huko aje anilaumu mimi.
Hapo sasa shangaa wee dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu usiku analala na shogaa, asubuh anamlaumu mdada ambaye anamuona amekaa na shoga yule wanapiga story, hivi wanaume wako timamu kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…