Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ila mkubali wanawake mnachangia kwa upande fulani kuenea kwa mashogaKwani James delicious analala na hao wanao msupport?? Sio mabasha zake?
Jamaa kaeleza vizuri sana mfano malezi ya wanawake wa siku hizi hasa baadhi ya singo maza ni hatarishi kwa mtoto wa kiume wanalelewa kikike sana
Na ushahidi ninao watoto waliolelewa kikike na masingo maza fulani ninaowafahamu sasa hivi ni mashoga