Hili nilishaliandika muda mrefu, lkn kuna MASHOGA wa aina nyingi.
1- shoga aliyeanzishwa ushoga sababu ya kukosa ulinzi wa jamii akiwa mdogo. Ameingiliwa na wajomba, baba wadogo, kaka , baba wa kambo nk.
Mwisho wa siku lawama zote anakuja kulaumiwa tayari akiwa kijana HANDSOME. labda akiwa sekondari au kidato cha sita , pengine chuo kikuu au kwenye AJIRA.
Huku yule MWARIBIFU akionekana shujaa, mwenye kukemea vitendo hivyo na KUHESHIMIKA kwa jamii akipewa madaraka makubwa kisha kukutana tena na yule kijana aliyeMUHARIBU wakaendeleza UCHAFU.
2- HAWA ndo lile eneo la kuendekeza tamaa, kwa kuingia mjini kwa pupa, kushindwa kujiongoza na kukutana na WAZOEFU wa UHARIBIFU ambao hata JAMII haiwagusi kutokana na UHESHIMIWA wao.
SHUTUMA zooooote zinaelekezwa kwa watoa PETE, lkn wenye VIDOLE Hawa guswi. TUKUSANYE mashoga wote. WAULIZWE walianzaje, huo MCHEZO nakuhakikishia kwanza zoezi LITAPIGWA VITA USHANGAE.
MAana ni kuumbuka kwa watu ambao WANAKAA viti vya mbele kama WAHESHIMIWA kumbe ni VIDOLE VIVAA PETE na VIHARIBIFU.