............salamu........
Adui wa Afrika wa kwanza ni ujinga, si wa viongozi bali wa raia wao, ulioletwa kwa makusudi na viongozi ili raia watawalike. Elimu mbovu pia, ili kuwafanya raia wasijitambue na watawalike kirahisi
Umasikini, ufisadi nk
Adui mkubwa aliyelipiga bara la Afrika enzi na enzi ni UMASIKINI, umasikini huu umechangiwa kwa makusudi na watawala wa kiafrika
Agenda za ushoga ni muhimu kuongelea ila zinatutoa kwenye mizizi hasa ya matatizo ya bara la Afrika na kuujadili ushoga...
Ushoga si mzuri,tuna vita mbili,moja na iliyo kuu ni umasikini wa Afrika,rushwa,ufisadi,huduma mbovu nk
Vita ya pili ni ushoga,huwezi kupigana vita ya 2 wakati ya kwanza imekutoa kamasi,
Tuungane WatZ tuanze kupigana vita namba moja... tumishinda twende namba 2,,tusitolewe mchezoni na wajanja wachache... vipo vingi mno vya kuvipinga kwa sasa...
Tusitolewe mchezoni,adui zetu wa kweli ni wanasiasa na viongozi WETU wanaotutawala...
Naruhusu ukosoaji,ni mtazamo tu