Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ushoga ni matokeo ya shida ya akili. Mwanaume Smart hawezi kuwa shoga
Hili nilishaliandika muda mrefu, lkn kuna MASHOGA wa aina nyingi.

1- shoga aliyeanzishwa ushoga sababu ya kukosa ulinzi wa jamii akiwa mdogo. Ameingiliwa na wajomba, baba wadogo, kaka , baba wa kambo nk.

Mwisho wa siku lawama zote anakuja kulaumiwa tayari akiwa kijana HANDSOME. labda akiwa sekondari au kidato cha sita , pengine chuo kikuu au kwenye AJIRA.

Huku yule MWARIBIFU akionekana shujaa, mwenye kukemea vitendo hivyo na KUHESHIMIKA kwa jamii akipewa madaraka makubwa kisha kukutana tena na yule kijana aliyeMUHARIBU wakaendeleza UCHAFU.

2- HAWA ndo lile eneo la kuendekeza tamaa, kwa kuingia mjini kwa pupa, kushindwa kujiongoza na kukutana na WAZOEFU wa UHARIBIFU ambao hata JAMII haiwagusi kutokana na UHESHIMIWA wao.

SHUTUMA zooooote zinaelekezwa kwa watoa PETE, lkn wenye VIDOLE Hawa guswi. TUKUSANYE mashoga wote. WAULIZWE walianzaje, huo MCHEZO nakuhakikishia kwanza zoezi LITAPIGWA VITA USHANGAE.

MAana ni kuumbuka kwa watu ambao WANAKAA viti vya mbele kama WAHESHIMIWA kumbe ni VIDOLE VIVAA PETE na VIHARIBIFU.
 
Kabsa sema hawa dada zetu wapo karibu nao sana yan, mm kuna mmoja alikua anakopesha sabuni alikua ananiogopa balaa nilimtoleaga panga mbele za watu maskani bas ilikua nikikutana nacho tu nikiambia aya leta buku 2 chap aping anatoea hapohapo usela raha
Ulikua humpendi ila buku 2 zake ulikua unachukuaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikii ndo unawasumbuaa khaaaah
 
Hili nilishaliandika muda mrefu, lkn kuna MASHOGA wa aina nyingi.

1- shoga aliyeanzishwa ushoga sababu ya kukosa ulinzi wa jamii akiwa mdogo. Ameingiliwa na wajomba, baba wadogo, kaka , baba wa kambo nk.

Mwisho wa siku lawama zote anakuja kulaumiwa tayari akiwa kijana HANDSOME. labda akiwa sekondari au kidato cha sita , pengine chuo kikuu au kwenye AJIRA.

Huku yule MWARIBIFU akionekana shujaa, mwenye kukemea vitendo hivyo na KUHESHIMIKA kwa jamii akipewa madaraka makubwa kisha kukutana tena na yule kijana aliyeMUHARIBU wakaendeleza UCHAFU.

2- HAWA ndo lile eneo la kuendekeza tamaa, kwa kuingia mjini kwa pupa, kushindwa kujiongoza na kukutana na WAZOEFU wa UHARIBIFU ambao hata JAMII haiwagusi kutokana na UHESHIMIWA wao.

SHUTUMA zooooote zinaelekezwa kwa watoa PETE, lkn wenye VIDOLE Hawa guswi. TUKUSANYE mashoga wote. WAULIZWE walianzaje, huo MCHEZO nakuhakikishia kwanza zoezi LITAPIGWA VITA USHANGAE.

MAana ni kuumbuka kwa watu ambao WANAKAA viti vya mbele kama WAHESHIMIWA kumbe ni VIDOLE VIVAA PETE na VIHARIBIFU.
Umeandika ukweli mtupuuuu.
Case [emoji735]
 
In America gays hawafiki 5% ya taifa zima.. hajawahi tokea raisi wa marekani shoga. Sasa sijui Nani anacontrol dunia mpaka google inaandika uwongo ..na sijui anafaidika Nini kwa sababu marekani wenyewe Kuna watu wanaupinga hivyo hivyo na maisha yanaendelea. Shida watu hawaijui hata marekani kila kitu wakiskia wanakubali. Tena south Africa Ina mashoga wengi kuliko marekani Kuna nchi ulaya zina mashoga wengi Ila watu hawafanyi research wanaconclude tu marekani kisa imeendelea muache wivu na bado tutaendelea kuomba misaada coz tumegoma kukua kiakili
Unajua idadi ya Wamerekani?
Hiyo asilimia isiyofika 5 ni wamarekani wangapi?

Unawezaje kujua kama marais waliopita Marekani ni mashoga au lah?
 
Unajua idadi ya Wamerekani?
Hiyo asilimia isiyofika 5 ni wamarekani wangapi?

Unawezaje kujua kama marais waliopita Marekani ni mashoga au lah?
Marekani ni mjanja hajawahi kuwa na Raisi mwanamke ila anawadanganya wenzie
 
Wakuu tunapinga ushoga tu,,mbona dada zetu wanasagana sana na hatupingi na vipi kuhusu wafiraji maana jamii yetu ipo kimya.!!!Au wasagaji na wafiraji waga hawafanyi kinyume na maadili ya jamii yetu???
 
Hakuna kelele Anna kuhusu wasagaji na wafiraji... Kelele ni kuhusu wafirwaji tu huku wafiraji wakionekana mabingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo leko unaleta mashindano.
Hivi vitu usivifanyie mashindano bro, unaweza kukumbusha jamii kukemea wasagaji na wafiraji bila kushindanisha.
 
Back
Top Bottom