Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sihitaji salamu,hizo nimewaachia watu wa pwani Dar na Zanzibar!.


Hivi unadhani ni kwanini suala la Usagaji wa Mahindi kutoka Sumbawanga halipewi kipaumbele kwenye mijadala mingi ukilinganisha na suala la ushoga baina ya Mwajuma na Rebecca?,Je Ushoga wa Mwajuma na Rebbeca ni kitu hatarishi sana katika jamii ya watanzania kuliko Usagaji wa mahindi kutoka Sumbawanga?

Mijadala mingi hapa JF imekuwa ikiongelea na kugusia Ushoga baina ya Mwajuma na Rebbeca lakini sijaona kabisa mijadala kuhusu Usagaji wa nafaka aina ya Mahindi kutoka Sumbawanga,Je ni halali kusagwa kwa mahindi kutoka Sumbawanga katika mashine zetu ila Ushoga baina ya Mwajuma na Rebbeca ni haramu?

Hii imekaaje?

Au ndo yale yale ya Kuingiliwa kinyume na maumbile kwa mtu mume ni haramu ila kuingiliwa kinyume na maumbile mtu muke ni halali?


View attachment 2646971
Ngoja niulize AI hii ni sehemu gani Nairobi, bila shaka ni hotel hii
 
Yeaman ushoga ni kumkasirisha MUNGU ashushe mvua ya Moto wa volcano kwa mashoga wote pale somewhere ndio maana wakakimbilia Upinde wa Mvua maana alisema akiona Upinde wa Mvua hatotoa adhabu kwa hio hua wanamkumbusha kua usishushe baba ulisema Upinde huu hutashusha garika baba Ila hakuna MUNGU anaefirwa, ushoga ni makasiriko kwa Muumba hao watu huko Israel na Marekani wanaofirwa wanamchukiza MUNGU
 
Unadhani ni kwanini Ushoga unajadiliwa sana Kuliko Usagaji?

Sababu akitoka MUNGU anakuja Mwanaume kisha anakuja Mwanamke ndio maana watu baadhi huhisi kua MUNGU ni Mwanaume kutokana na uumbaji aliumba mtu anaefanana nae kisha akamtumia Mwanaume kumuumba Mwanamke, sasa ni MUNGU gani anakua shoga anaefirwa na Wanaume wengine ? Mwanamke ameumbwa kwa mfano wa Mwanaume sio kwa mfano wa MUNGU maana kwenye uumbaji wa kwanza kuumbwa ni Mwanaume, kwa mujibu wa Maandiko ya vitabu vya Dini
Sidhani kwamba katika vitabu vyote vya dini imeandikwa kuwa Mungu aliumba binadamu kwa mfanowe.
 
Write your reply...dah hizi mambo nilikuwa siziamini kama zipo ila nijuzi juzi hapo imenitokea..kuna njemba moja sijui ilipataje namba yangu ikawa ina nichatisha minajua nachati nademu..nikaipigia simu sauti inaongea kama piskali ikanielekeza nikaifata nishapiga vitu vyangu kichwani nikajua leo naenda kupeleka moto..kufika lahaula mtume nikijeba kimepanda hewani ngozi nyeusi kina nisalimia sauti kimebana nilitoka mbio..pombe zote zikaisha kila siku chemba inanisumbua nikaifukue tope na ahadi kedekede nikaiblock lakin wapi ina nitegea mpaka maskani nikaona ujinga huu nikaishikia panga nikasema ukinifata tena nakuparasa mabega kidogo ikasaidia..hyo njemba ni jitu la mwanza lime panda hewani ukiliona huwezi zania
kwanzia hapo nikasema kweli bongo kama mbele kummk
Ungetulia upigwe miti.
 
Mwanamke akiwa na feelings kwani yanavimba kama mpira 😃
Nyege huwa zinayavimbisha! Hicho huwa ni kigezo kujua kama mwanamke anakufeel au anakudanganya. Ukiona hayavimbi yanabakia hivyo hivyo, jua kuwa anakuibia tu. Au mwenzangu umezoea machangu?
 
Inaweza kuwa siyo kosa Lakini usihamasishe wengine kufanya hivyo.na tukiweka Sheria kuwa hatutaki yaendelee usipinge
Afrika Kusini kulikuwa na shedia ya nchi ya kubagua watu weusi, je ubaguzi dhidi ya watu weusi ulikuwa ni kitu sahihi, cha haki na sawa kwa sababu iliwekwa sheria ya kubagua watu weusi tu?
 
Back
Top Bottom