Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sidhani kwamba katika vitabu vyote vya dini imeandikwa kuwa Mungu aliumba binadamu kwa mfanowe.
 
Ungetulia upigwe miti.
 
Mwanamke akiwa na feelings kwani yanavimba kama mpira 😃
Nyege huwa zinayavimbisha! Hicho huwa ni kigezo kujua kama mwanamke anakufeel au anakudanganya. Ukiona hayavimbi yanabakia hivyo hivyo, jua kuwa anakuibia tu. Au mwenzangu umezoea machangu?
 
Inaweza kuwa siyo kosa Lakini usihamasishe wengine kufanya hivyo.na tukiweka Sheria kuwa hatutaki yaendelee usipinge
Afrika Kusini kulikuwa na shedia ya nchi ya kubagua watu weusi, je ubaguzi dhidi ya watu weusi ulikuwa ni kitu sahihi, cha haki na sawa kwa sababu iliwekwa sheria ya kubagua watu weusi tu?
 
Afrika Kusini kulikuwa na shedia ya nchi ya kubagua watu weusi, je ubaguzi dhidi ya watu weusi ulikuwa ni kitu sahihi, cha haki na sawa kwa sababu iliwekwa sheria ya kubagua watu weusi tu?
Hapo ndipo jibu linakuja, sheria zingine ni kandamizi na hazina budi kupigwa vita.
 
Sasa hoja ya sheria iondoe. Kwa sababu sheria si lazima iwe haki. Na wewe umefanya kama vile kitu kikiwa sheria tu ni cha haki.
Mkuu sheria zinatungwa na watu, na muswada kupitishwa kuwa sheria si kigezo cha sheria hiyo kuchukua nafasi ya haki. Sheria si haki. Nafikiri ulimaanisha hivi!
 
Mkuu sheria zinatungwa na watu, na muswada kupitishwa kuwa sheria si kigezo cha sheria hiyo kuchukua nafasi ya haki. Sheria si haki. Nafikiri ulimaanisha hivi!
Naam. Tuongelee mengine. Haki, maadili, falsafa.

Sheria si vibaya kuijadili, lakini tusifanye kama vile sheria ndiyo inamaliza mjadala.

Kwa sababu hata serikali inajua kuna bunge limewekwa kutunga sheria, kuzibadili etc.
 
Hakika... naongeza hapa mkuu, haki ya mtu haibadilishwi ila sheria inaweza. Hivyo haijuzi kabisa kufananisha sheria na haki.
 
Mimi ni mwanasayansi daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama.nimemsoma mwanadamu kuanzia kuumbwa kwake .na kwenye somo hili ( embryology ) nilipata marks 93 Yani excellence au A+...
Andiko lako nililiona bora, na kuna sehemu umeandika ukweli mtupuu, ila ulipofika kwenye hoja za uzazi/uzao ndipo niliopoona ubovu wa andiko lako.

Sijawahi jua yeyote anayepinga [emoji2380][emoji2380] huwa anatoa hoja zisizo na mashiko, woiiiiiiih.
 
Wa Africa shida tupuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sihitaji salamu,hizo nimewaachia watu wa pwani Dar na Zanzibar!.

Hivi unadhani ni kwanini suala la Usagaji wa Mahindi kutoka Sumbawanga halipewi kipaumbele kwenye mijadala mingi ukilinganisha na suala la ushoga baina ya Mwajuma na Rebecca...
Paragraph ya mwisho ukikibiwa nitag.
 
Hebu tupe uthibitisho wa haya madai yako.
 
Kumekuwa na jitihada za ambazo baadhi ya nchi za kiafrika zinachukua juu ya ushoga na Lgbtq ikiwemo pamoja na kuwekwa kwa sheria za wazi kabisa bila kupepesa macho, tumeona kilichotokea pale Uganda kuhusu Mapenzi ya jinsia moja, lakini ukitazama kwa upande wa Tanzania haijaweka juhudi za waziwazi na hatua madhubuti,juu ya swala la Ushoga ni kusema kuwa bado tuko katika nyororo ya utumwa kimaamuzi na kuogopa msuri wa mkono wa kimagharibi au Tumekubali Lgbtq ila tunaogopa kutazamwa vibaya na nchi zinazopinga Ushoga?
 
Ngoja tumtoe knock out Mwarabu kwanza halafu tutarudi tupambane na report ya CAG na Kisha tunachinja mashoga wote mwaka huu Wa TZ tutoke gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…