Siyo kweli hata kidogo . Nyuma ya serikali yako unayoiona wewe kuwa Ina nguvu Kuna serikali isiyoonekana Kwa macho yako yenye nguvu zaidi . Marais wengi hawakubaliani na huu uovu lakini hawana namna Kwa sababu na wenyewe wanaongozwa na usiowajua wewe . BAADA YA KUSEMA HIVYO , AFRIKA HAINA RAIS MWENYE UTHUBUTU WA KULIPINGA HILI ...Serikali ina nguvu sana kuliko sheria tu kali inaangamiza hili tatizo