Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Polisi inafanya kazi yake kama kawaida. Na wewe fanya wajibu wako, si unauchukia ushoga? Nenda polisi sema mtaani kwako kuna shoga peleka na majina fungua RB uone kama hatakamatwa. Baadae uende mahakamani kutoa ushahidi.Polisi wana kazi gani? Ikiwa mhalifu anaweza kutekeleza uhalifu wake polisi wakapeleleza hadi kumtia nguvuni wanashindwaje kuwakamata hawa macchoko wanaotamba hadharani?