Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Serikali ina nguvu sana kuliko sheria tu kali inaangamiza hili tatizo
Siyo kweli hata kidogo . Nyuma ya serikali yako unayoiona wewe kuwa Ina nguvu Kuna serikali isiyoonekana Kwa macho yako yenye nguvu zaidi . Marais wengi hawakubaliani na huu uovu lakini hawana namna Kwa sababu na wenyewe wanaongozwa na usiowajua wewe . BAADA YA KUSEMA HIVYO , AFRIKA HAINA RAIS MWENYE UTHUBUTU WA KULIPINGA HILI ...
 
Heri wafanye huko gizani sio mtu anakuja kukata uno ukumbini namna hii ni aibu kubwa mnoo hii wengine hasira Huwa zipo karibu unaweza mnyonga ukaishia jera ndio maana tunaomba serkali itupe ruhusa tuwashughulikie
Boss, Ndo unafiki ninaoongelea. Kutokuwa na nia ya dhati ya kupigana na huo ushoga ila mdomoni na mitandaoni una hasira kweli. Yaani hapo wewe ulikuwa na haki kabisa ya kumfungulia mashtaka huyo shoga na akakamatwa.

Ungeweza kwenda polisi na ukachukua rb ya kumkamata kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ukasimama mahakamani ukatoa ushahidi akahukumiwa. Kwanini hufanyi hivyo?
 
Sheria inakukaba koo unaishia jera
 
Bangi ni Biashara ya wakubwa , hivyo serikali kuipinga haimaanishi inakupenda wewe mwananchi , lahasha !
 
Wewe binafsi unaisaidiaje jamii yako kuufuta ushoga? Nyuma yako yupo nani anayekuzuia?
 
Sheria inakukaba koo unaishia jera
Hakuna kitu, uongo uongo na unafiki. Muulize mtu mwenye hasira kali ni lini alishawahi kamata shoga akalipeleka polisi halafu akakamatwa yeye. Uhalisia ni kwamba, hapa kwetu watu hawapigani na ushoga kwa vitendo zaidi ya maneno. Pere pere mingiiiii.

Mkuu bora kujikita kwenye kuhakikisha mkeo haolewi ukifa. Hili la ushoga unajidanganya.
 
Umewahi kugombana na Mtu akiwa ameshika mpini wa panga na wewe ukashika makali ? Ndivyo Dunia ilivyo , there are things you can't change at all in this life .
Ww kamata shoga, peleka polisi litashughulikiwa maana sheria zipo wazi. Au achana nayo usiyatafute na kuyafuatilia kama wengine tunavyofanya.
 
Kwamba kila unayemhisi shoga unanyonga? Au wanaume wote soft soft watapimwa njia ya haja kubwa? Utatumika ushahidi gani kupitisha adhabu ya kunyonga?

Mashoga yakikaa sirini huko achaneni nayo msiyafuatilie. Sheria zetu zinajitosheleza kuhusu ushoga.
Mashoga kama hawa wanaojionyesha hadharani wanahitaji uashahidi gani kunyongwa?
 
Unataka nani amkamate sasa na wewe ndo upo nae hapo hadharani? Wewe uliyekaribu unayeshuhudia tukio la uhalifu ndo wa kwanza kuchukua hatua.
Polisi wana kazi gani? Ikiwa mhalifu anaweza kutekeleza uhalifu wake polisi wakapeleleza hadi kumtia nguvuni wanashindwaje kuwakamata hawa macchoko wanaotamba hadharani?
 
Polisi wana kazi gani? Ikiwa mhalifu anaweza kutekeleza uhalifu wake polisi wakapeleleza hadi kumtia nguvuni wanashindwaje kuwakamata hawa macchoko wanaotamba hadharani?
Polisi inafanya kazi yake kama kawaida. Na wewe fanya wajibu wako, si unauchukia ushoga? Nenda polisi sema mtaani kwako kuna shoga peleka na majina fungua RB uone kama hatakamatwa. Baadae uende mahakamani kutoa ushahidi.
 
Mambo ya spiritual achana nayo kwanza. Sisi hatuyataki mashoga sababu ni hasara. Nchi haina hata bajeti ya pedi kwa kina mama bure uje uongeze pampas za wanaume walioharibika makalio?
Behind your president there is another president who controls your president secretly . The elites of this world are preparing the life style of the generation to come . Even your life style in your generation was planned many generations ago . Every thing in our generation was planned as it is ( Economic , Politics, Social and cultural and being not forgetting RELIGIONS ). WHETHER YOU LIKE OR NOT , YOUR GENERATION IS IN TRANSFORMATION TO ANOTHER GENERATION .
 
Sasa shoga umpeleke police kufanyaje? Soga anaepaswa afe Tena Kwa Wakati bila kupoteza muda. Sheria iweje vizuri tu kama wezi tunawashambulia hata hili inawezekana
 
Ukishaweka kingereza unanichanganya boss si unajua si wote tumeenda shule. 🙂
 
Sasa shoga umpeleke police kufanyaje? Soga anaepaswa afe Tena Kwa Wakati bila kupoteza muda. Sheria iweje vizuri tu kama wezi tunawashambulia hata hili inawezekana
Huwezi anza tu kuua watu kwa kuhisi ni mashoga bila ushahidi. Tafsiri ya ukike inatofautiana sana ndo maana serikali imeweka utaratibu wa kuwashtaki ukiwa na ushahidi.

Atakuja mtu atakuambia kucheka cheka ni ushoga, kuna mtu anacheka cheka na si shoga.

Kuna watu wanakwambia mwanaume ukijipaka mafuta baada ya kuoga ni ushoga na kuna wanaume wanajipaka mafuta na sio mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…