Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hili janga sasa mmmh ama kweli wahasiwe tu wanaowafanyia vitendo hivi watoto,kuna pisi moja mwanangu sana anafanyia kazi mashirika haya ya haki za watoto kwa kweli hali ni mbaya sana ,sasa juzi tu kuna mtoto alilawitiwa wa miaka sita na aliyemlawiti ni wa miaka kumi na sita(16) kufanya vipimo hospitali wakakuta hata huyo aliyemlawiti mwenzie hana marinda hata kidogo nae anafanyiwa yani mwili ulikufa ganzi niliposikia 🥵🥵🥵
 
umenikumbusha mama adija kopa na mwanaye kwa sasa marehemu
 
Naona wanatumia sana alama ya rainbow - Upinde inayotumiwa na mitandao inayopigia upatu mambo ya kishoga .

Siku moja katika kipindi chao niliona wanachomekea ajenda ya kukumbatiana kwamba unahitaji kukumbatiwa usiwe mpweke na wakakumbatiana watoto wawili wa kiume. Nilitia shaka ILA nikaapa kufuatilia. Baadae nikagundua pia wapo sponsored na wamarwkani.

Kama kweli hatutaki ushoga basi hii asasi inayotoa vipindi vya elimu kwa watoto kwa njia ya tv itazamwe naona viashiria vya shetani ndani yao
 
Naona wanatumia sana alama ya rainbow - Upinde inayotumiwa na mitandao inayopigia upatu mambo ya kishoga...
Tafuta kazi ufanye..ushoga upo ulikuwepo na utaendelea kuwepo.

Kwanza kuuongelea ongelea ndio mnaupa umaarufu.

There is no bad publicity.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wasi wasi wako tu walahi
Hizo nchi zilizo wapa ruksa, bado wanaume kamili wapo kwa wingi sana walahi
Na hawapendwi na wengi ila huwezi kuwabagua ni kosa.

Nimefanya kazi sehemu nyingi sijawahi kufanya na hao watu ila nasikia tu wapo

Huwaoni kama huna shughuli nao ila wapo
 
Hii ni aibu kubwa

Kuna bwege mmoja alinitumia link ya Telegram nikaingia huko. Nilichokutana nacho ilinibidi nifunge siku nzima nikiomba TOBA kwa Mungu.

Vijana mahendisam wa kibongo wanapakuliwa mzigo na wanajiuza waziwazi na wanatuma vids zao wakinyooshwa marinda.

Wapo wanawake pia wanaishi kwenye trauma kubwa baada ya kugundua waume zao ni versatile yaani wanapakuliwa kinyume na maumbile.


Sikuwahi kufikiria kuwa bongo imekuwa nyoso hivyo. Nilidhani wapo wachache na Wanajificha mnoo. Jamaa nimemuhoji tangu lini yupo kwenye group za kununua mashoga wa kibongo kanijibu ni mwaka qa tatu sasa. Ananiambia kuwa wanaume wengi wanaoenda GYM huwa wanaenda kujiuza ama kununua wanaume wenzao.

Kama jamii, tunaweza kusema tunalaani na kukemea ushoga na usagaji lakini hao hao wanaokemea ndiyo wanunuzi ama washiriki wakubwa. Maeneo yaliyotia fora ni Tabata. Mbagala, Mbezi na Sinza.

Wazazi ni muhimu sana kuweka uangalizi chanya kwa watoto kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote.

Hatari kubwa hii
 
Hali ni mbaya, kuna mmoja nilikutana nae mchana kweupe kajiremba hatari, pisi akasome.
 
Kwa hiyo ule wakati wa wanawake 7 kumlilia mwanaume mmoja ndio umewadia?

Enewi tutawasaidia 🤣🤣🤣
 
Hiv serikali wao wamepima huu upuuzi na kuona hauna effect yoyote au wapo wapo tuu hawajua wasimame wachuchumae au wakae

Inabd huu upuuz upngwe
 
Kuna mmoja nilionyeshwa tena na ushahidi kabisa kuwa ni upinde, kijana ni wa ki corporate kabisa, smart, successful pesa ya kubadilishia mboga ipo ila ndio hivyo anakazwa.

Halafu alianza mchezo mkubwa tu akiwa na miaka 23.
 
Kama kuna viongozi wa serikali humu, ni vizuri wasome comment hii kama ushauri kwao na kulifanyia kazi ili kuokoa hiki kizazi cha sasa

La sivyo, Taifa linaangamia hili na nguvu kazi kupotea
 
Ushoga na ulawiti ni vitu viwili tofauti, japo tendo ni lile lile 1.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo kwa kweli. Mweeeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…