Polisi inafanya kazi yake kama kawaida. Na wewe fanya wajibu wako, si unauchukia ushoga? Nenda polisi sema mtaani kwako kuna shoga peleka na majina fungua RB uone kama hatakamatwa. Baadae uende mahakamani kutoa ushahidi.Polisi wana kazi gani? Ikiwa mhalifu anaweza kutekeleza uhalifu wake polisi wakapeleleza hadi kumtia nguvuni wanashindwaje kuwakamata hawa macchoko wanaotamba hadharani?
This is spiritual battleUnadhani ushoga ukiuacha tu usiupinge wala kuupromote nini kitatokea na kwanini?
Mambo ya spiritual achana nayo kwanza. Sisi hatuyataki mashoga sababu ni hasara. Nchi haina hata bajeti ya pedi kwa kina mama bure uje uongeze pampas za wanaume walioharibika makalio?This is spiritual battle
Behind your president there is another president who controls your president secretly . The elites of this world are preparing the life style of the generation to come . Even your life style in your generation was planned many generations ago . Every thing in our generation was planned as it is ( Economic , Politics, Social and cultural and being not forgetting RELIGIONS ). WHETHER YOU LIKE OR NOT , YOUR GENERATION IS IN TRANSFORMATION TO ANOTHER GENERATION .Mambo ya spiritual achana nayo kwanza. Sisi hatuyataki mashoga sababu ni hasara. Nchi haina hata bajeti ya pedi kwa kina mama bure uje uongeze pampas za wanaume walioharibika makalio?
Sasa shoga umpeleke police kufanyaje? Soga anaepaswa afe Tena Kwa Wakati bila kupoteza muda. Sheria iweje vizuri tu kama wezi tunawashambulia hata hili inawezekanaHakuna kitu, uongo uongo na unafiki. Muulize mtu mwenye hasira kali ni lini alishawahi kamata shoga akalipeleka polisi halafu akakamatwa yeye. Uhalisia ni kwamba, hapa kwetu watu hawapigani na ushoga kwa vitendo zaidi ya maneno. Pere pere mingiiiii.
Mkuu bora kujikita kwenye kuhakikisha mkeo haolewi ukifa. Hili la ushoga unajidanganya.
Upo upande Gani mkuu ?Unataka nani amkamate sasa na wewe ndo upo nae hapo hadharani? Wewe uliyekaribu unayeshuhudia tukio la uhalifu ndo wa kwanza kuchukua hatua.
Ukishaweka kingereza unanichanganya boss si unajua si wote tumeenda shule. 🙂Behind your president there is another president who controls your president secretly . The elites of this world are preparing the life style of the generation to come . Even your life style in your generation was planned many generations ago . Every thing in our generation was planned as it is ( Economic , Politics, Social and cultural and being not forgetting RELIGIONS ). WHETHER YOU LIKE OR NOT , YOUR GENERATION IS IN TRANSFORMATION TO ANOTHER GENERATION .
Huwezi anza tu kuua watu kwa kuhisi ni mashoga bila ushahidi. Tafsiri ya ukike inatofautiana sana ndo maana serikali imeweka utaratibu wa kuwashtaki ukiwa na ushahidi.Sasa shoga umpeleke police kufanyaje? Soga anaepaswa afe Tena Kwa Wakati bila kupoteza muda. Sheria iweje vizuri tu kama wezi tunawashambulia hata hili inawezekana
Out of sight, out of mind.Heri Yako unaloishi wewe usihame huko
Wa uhalisia na kupinga unafiki. Uhalisia ni ushoga unapendwa na watu waliotuzunguka tena wa heshima kuliko mashoga wenyewe wanaoonekana ndio sababu hauishi. Na hata tuue mashoga wangapi watakuja wengine sababu watumiaji hawauwawi. Unatoa utando unaacha bui bui.Upo upande Gani mkuu ?
Only few knows this,.....Behind your president there is another president who controls your president secretly . The elites of this world are preparing the life style of the generation to come . Even your life style in your generation was planned many generations ago . Every thing in our generation was planned as it is ( Economic , Politics, Social and cultural and being not forgetting RELIGIONS ). WHETHER YOU LIKE OR NOT , YOUR GENERATION IS IN TRANSFORMATION TO ANOTHER GENERATION .
Mkuu, waweza kuwa sahihi, ila hili suala la ushoga ni kama linataka kututoa kwenye kujadili matatizo ya msingi yanatukabili kama nchi, ni kama vile wanasiasa wameona kichaka cha kuficha madhaifu yao.Heri hata fisadi kuliko shoga!! Maana shoga wa Leo ndiye fisadi la kesho iwapo tu hii tabia itabarikiwa na kuwa ya kawaida
Na mtaani si kuna watu..!! Enzi zetu mtoto ni wa jamii, siku hizi na mambo ya usingo maza na usingo faza, ole upige mtoto wa mtu..!!Uchukue hatua ipi Wakati likianza tabia hiyo linaenda mtaani huko
Mbona kama unapigia chapuo, wewe kwann inakukera huyo mleta mada akikemea? [emoji848]Kama ni wa kutafuta usiutafute hilo ndo suluhisho.
Ushoga upo tangu enzi na enzi, upo hata kwenye nchi zenye sheria kali za kiisilamu ukiutafuta utaupata.
Anakemea au anaufanyia marketing?Mbona kama unapigia chapuo, wewe kwann inakukera huyo mleta mada akikemea? [emoji848]
Ni plani ya kimya kimya, mpaka wao wenyewe wanajistukia. hawatajua nani ni nani.Sheria inakukaba koo unaishia jera