Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Umesahau kutuma salamu kwa watu watatu
 
Dume anavaa sketi,nywele bandia,anapaka lipstick 💄,
Dume anavaa kikuukuu mguuni,
Dume anavaa kipini kitovuni
Mnategemea nini
Ukija kwa wabunifu wenu wa mavaz wengi mashg,uko kwenye media +sanaa miziki ndy usiseme
Kwanini ushg usizidi kueneaa

Ukija mtaani,kwenye shuguli za vigodoro mtaa unafungwa
Wanaitwa wale mashoga kusherehesha shuguli na watu wana jumuika nao bila wasi

Ova
 
Ifuatayo ni orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya watu waliojitanabaisha kama wana upinde [emoji2380]

:

[emoji1198]Philippines: 11%
[emoji631] US: 11%
[emoji1242] Thailand: 10%
[emoji1054] Brazil: 9%
[emoji1236] Sweden: 9%
[emoji633] Spain: 8%
[emoji636] UK: 8%
[emoji632] France: 7%
[emoji629] Germany: 7%
[emoji1132] Ireland: 6%
[emoji1250] Turkey: 6%
[emoji1200] Poland: 5%
[emoji1126] Hungary: 4%
[emoji2406] South Korea: 3%
[emoji1205] Romania: 3%

Chanzo: Statista

My take : Tuweni makini Sana haswa na tamthilia pendwa za kifilipino ambazo ndizo zinazoangaliwa zaidi na wanawake pamoja na watoto katika kaya zetu.

True story :Mimi kwangu nimepiga ban kuangalia michezo hiyo ya kuigiza ya kifilipino maana baadhi ya character (waigizaji) unakuta ni mashoga., jambo ambalo dada zetu na wakw zetu wameanza kulichukulia poa huku wengi wakiamini ni maigizo tu and nothing else.

Ombi langu: TTCRA jaribuni kuangazia maudhui ya tamthilia haswa za kifilipino zinazoonyeshwa na local channels zetu before it is too late.


View attachment 3011970View attachment 3011969
 
Ukiamua kua mkweli Israeli ndio nchi inaongoza kwa ushoga kulingana na idadi ya watu wake.
 
Ila sijui upande wa wengine mnayachukuliaje haya mambo, yaani TTCRA ifungie hizo channel au wewe ndie ujue namna ya kumkanya mwanao na familia kwa ujumla, af
Mtu atoe kijampio chake kiliwe mi kinanihusu nini.
Mi kwa upande wangu hata kama serikali itaruhusu, nitapambana na walio chini yangu.
 
Kwa akili zako wewe unaweza kuzuia au kupambana na hili swala..?

Unajua kwann hayo mataifa yametoa data zao hizo (cos wanazingatia liberty-freedom to liveas you wish) na sio wanafki alafu wameendelea kielimu, kiuchumi na kijamii..

Mwisho tujifunze kuishi kwa kuzuia mihemko kuna mambo ni yakuyatazama na kuyashughulikia kwa namna nzuri bila kudhuru au kuumiza watu kisaikolojia.

Ebu imagine wewe ni Elizabeth ila umejikuta upo kwenye mwili wa Robert au wewe ni aisha ujikute upo kwenye mwili wa Omar what will happen?
 
UMESAHAU UVCCM ASILIMIA 0.9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…