Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ulaya ama Marekani si sawa na bongo mkuu.
Kesi ya mke na mume si sawa na ya mtoto.
Watoto hukutana kucheza pamoja na kuichangamsha jamii kaka.
Hivyo kuwalinda wao ni muhimu sana,suala la mke na mume ni personal.
Watoto hukutana mashuleni,michezoni na maeneo mengine,je mtoto aloyeharibika akamlawiti mwanao huko shuleni ilhali wewe hujui utafanyaje!?
Sio kila linalotokea muda mwingine ni uzembe laa hasha.
Dakika moja unayomuacha mtoto yaweza kuwa kandamifu kwake.
Ulaya watoto hawa socialize kama Afrika.
 
Vijana wa maika hii ya 90's - 2000's ni mashoga Kwa asilimia 75% wengi wao wapo mitandaoni wakipinga ndoa.
Ukiona kijana amevaa jeans ya kubana MAPAJA ujue huyo ni biashara au ameshaolewa na yupo kwenye ndoa
Jeans nyingi zinakuja ivooo ila haimanishi wote wavaa hizo jeans ni mashoga.
 
Astaghafirullah😁😂😂😂😂
 
Hii aibu na uchafu wa kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, ambalo pia ni kosa kisheria, inachochewa na nini hasa ndrugo zango?

Ni nini inasababisha kushamiri kwa hali hii?

Mbona sielwi uchafu huu unakuaje na ladha?

Mpaka ifikie mahali, watu wenye akili timamu, wasomi wenye maisha mazuri tu, watu wenye familia, kazi nzuri na vyeo, watu wenye heshima kwenye jamii kuhusika kwenye kasumba hii ya ufirauni na unyama dhidi ya utu wa mwanadamu?

Hebu jaribu kutafakari vijana watanashati na warembo wakiambukizana magonjwa ya zinaa kama vile uti, gono na kaswende wakati wa tendo kinyume na maumbile, ndugu zangu mbona ni kinyaa na hatari sana?

Hii hali haikuwahi kuwako zamani ndugu zangu, ama nasema uongo?

Kwanini tunalazimisha kuamsha hasira za mungu tunapotenda mambo kinyume na uumbaji wake?

Mwenyezi mungu atuepushe na laana hii..


Acha ufirauni ndugu yangu , acha ushirukina, tuungane kwa pamoja kupiga vita utepetevu huu wa kimaadili 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…