Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Jamii tuliyonayo imeshaharibika hata itiwe ndimu haisaidii kitu, cha muhimu ninachokiona ambacho kitasaidia kupunguza (Sio kuondoa) tatizo tulilonalo ni kuwa kila mmoja wetu apaze sauti yake kuanzia ngazi ya familia, ukoo na hata jamaa zake katika kuwaelezea tatizo hili, nahisi kwa kiasi fulani itasaidia.
Kila mmoja wetu na atimize wajibu wake.​
 
Nakubali 100%
 
Mzee wa usafini ndio rolo modo WA vijana wenu hapo unatarajia nini anajisifia kabisa kwenda geto la pdidy eti alienda usiku na walifanya mambo mengi sana ambayo hawezi kuyaelezea kwenye sosho media. Vijana wanavaa mitelezo na anakaa na kuzunguka na magasho kila Kona Manona sawa tu. Ishakuwa mbwai wacha waliwe tu kizazi cha jezebeli.
 

Attachments

  • 20240918_111306.jpg
    141.4 KB · Views: 4
Ushoga ni utamaduni wa waarabu wao wanasema ni sunna za mtume.
 
sinza pazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…