Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu maana ya Sunna? Nyie ndio mnaoeneza propaganda mbaya sana!Kumla mwanamke ndogo ni sunna mbaya dume kwa dume. 👍 👍
Nakubali 100%Jamii tuliyonayo imeshaharibika hata itiwe ndimu haisaidii kitu, cha muhimu ninachokiona ambacho kitasaidia kupunguza (Sio kuondoa) tatizo tulilonalo ni kuwa kila mmoja wetu apaze sauti yake kuanzia ngazi ya familia, ukoo na hata jamaa zake katika kuwaelezea tatizo hili, nahisi kwa kiasi fulani itasaidia.
Kila mmoja wetu na atimize wajibu wake.
Ok thenUnafahamu maana ya Sunna? Nyie ndio mnaoeneza propaganda mbaya sana!
If you don't know the meaning then you have to ask for it.Ok then
Ushoga ni utamaduni wa waarabu wao wanasema ni sunna za mtume.Tuwe wakweli juu ya ushoga
Kwa ilivyo juu ya rushwa ndivyo ilivyo ktk ushoga . Tunaimba kiila juu ushoga ni kitu kibaya lkn tunafunga maskio yetu kila siku yasikia wasanii wetu wakisema "kwa mpalange kwa mpalange" na wananchi hata kupiga marufuku maneno zinazo glorify ushoga .
Kwa sbb siasa imeingizwa kwenye rushwa,wanapiga rushwa kwa maneno tu ndio wala rushwa wakubwa.
Ushoga ni ttz kubwa, tuache kuimba nyimbo zinazotukuza ushoga. Hili ttz la ushoga ni balaaa kwa taifa. Wote tunajua kwamba hata ktk familia nyingi manaume wanaingilia hata wapenzi wao na pengine hata wake zao kinyume ncha maumbile.
Swali langu: Tutaacha lini unafiki wa kuingiza siasa ktk masuala muhimu kama haya. Kwanini hatupendi kutatua mattz yetu kulingana na uhalisia wake?
Walikufumua marinda lini? pole sana kwa kupoteza ubingwa,Ushoga ni utamaduni wa waarabu wao wanasema ni sunna za mtume.
Tobaaaaa!Surrat 7, hata mtume muhamad alikula tundu la huzuni kwa Hadija mkewe
sinza pazuriMzee wa usafini ndio rolo modo WA vijana wenu hapo unatarajia nini anajisifia kabisa kwenda geto la pdidy eti alienda usiku na walifanya mambo mengi sana ambayo hawezi kuyaelezea kwenye sosho media. Vijana wanavaa mitelezo na anakaa na kuzunguka na magasho kila Kona Manona sawa tu. Ishakuwa mbwai wacha waliwe tu kizazi cha jezebeli.
Ushoga ni utamaduni wa waarabu wao wanasema ni sunna za mtume.
Mashallah Mashallah
Alhamdulilah 👌