Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Asee ushoga n janga kubwa

Jana nilikuwa nacheki world cup mech ya Brazil vs cameroun bar moja Maarufu ya TITANIC POSH iliyopo vingunguti relini jiran na kituo Cha scania inayomilikiwa na waziri George simbachawene

Fm academia walikuwa hapo na mh wazir Naye alikuwepo na mkewe Cha ajabu mashoga yalikuwa yanafanya part yao hapo pia dah yaan mh Naye alikuwa anafurahia tu huku wakimtajataja hao mashoga yanakata viuno tu



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi, sasa ulitaka waziri afánye nn? Haogopi?
 
Ungekisanua kwa mapolisi kwamba kuna mashoga wana party hapo: Ila dah unatumia TECNO alafu unaenda bar, aisee hiyo hela ya bia si ungezichanga ununue sim original?
Khaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]e
 
Ushoga bila ya wale wanaowaingilia hao mashoga ungejifia. Tatizo tunaangalia matokeo (shoga) hatuangalii chanzo cha tatizo ambacho ni wale wanaowaingilia hao mashoga,unakuta Mtu kaoa ana mke ndani lakini ana muingilia mwanaume mwenzake. Na siku hizi kuna kamtindo kameingia Ukilewa Sana hujitambui,watu wanakukula (wanakulazimisha uwe shoga hata kama hutaki[emoji23])
Mabasha wengi ni waume za watu, Ushoga hauweżi kuishaaa kamweeeeh.
 
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania, Rejeeni Kichwa cha habari hapo juu

Kipindi tukiwa tunaendelea na harakati za kupinga mapenzi ya Jinsia Moja. Tunawakataza watoto wetu kushiriki baadhi ya Michezo na hata kuangalia tamthilia zinazoonyesha hayo mambo

Tunasahau kwamba Wapenzi wa jinsia mbili tofauti (Me & ke) wanaoshiriki mapenzi kwa njia ya kinyume na maumbile nao pia ni chanzo cha Ushoga

Najaribu kujiuliza mwanaume aliyezoea kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile, anashindwa kumuingilia mwanaume mwenzie kweli?....

Ni ngumu kupata majibu sahihi lakini kwa maswali madogo tukiendelea kujiuliza tutagundua nao ni kundi moja la kueneza ushoga.

Ni ngumu kwa sisi kuzuia maana tendo linafanyika kwa siri na pia wanaofanya ni jinsia mbili tofauti ambapo sio kitu chakushtua kikawaida.

Sijui tunanusuru vipi kizazi chetu kwenye hili swala...Mungu atusaidie vizazi vyetu kwenye hili swala[emoji17]
Imeishaaaaa hiyooooooo.
 
Askari Polisi kutoka Kituo Cha polisi Himo, Jana alionesha kusitikitishwa Sanaa na kitendo Cha kupokea kundi la wazazi, wa watoto wa walio lawitiwa,na watoto walio fanya vitendo vya kulawiti wenzao, waliofika kituoni hapo kwa rengo la kuomba kupewa pfthree Ili kupeleka watoto hao hospital in Kwa matibabu zaidi.

Akiongea Kwa uchungu, Afande ambae hakupenda jina lake litajwe, alisema vitendo vya ulawiti vinaongezeka Kwa kasi ya Ajabu sana Kwa sababu wanaume wa Kilimanjaro wamekuwa jobless, jambo ambalo linasababisha wake zao kuwa bize masokoji kutafuta fedha za kualisha watoto na wanaume zao ambao siku za hivi karbuni utafiti unaonesha yakuwa wanaume wengi hawajishughulishi wanao lishabfamilia ni wanawake,''

Wamama wamekuwa bize hawana muda wa kukaa na watoto wao Tena,wanawaacha watoto na baba zao nyumbani wapo wanao najisiwa na wazazi wao,wapo wanao najisiwa na watoto wennzao,lakini jambo Ili Lina mikono ya watu wazima kabisa nyuma yake''

Watoto wanao daiwa Kulawitiana Sasa wameongezeka kutoka 2 mpaka kumi na wote wanatarajiwa kufikishwa kituoni Kwa hatua zaidi za kisiasa.

Mkoa wa Kilimanjaro vitendo hivi vinaongezeka Sanaa ila vinafunikaa na majani ya masare,yaani mtoto analawitiwa alafu baba au mama wa mtoto alitefirwa analetewa masare na kusamehewa Kwa kusema hacha mtoto wangu hawe choko tu.
 
Naona umeweka kambi kabisa! Maana hakuna nyuzi zinazokukuna humu jukwaani kama hizi za ushoga!

Kazi kweli kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bila mie mbna huendi, hupumui wala huemi,

Uwiiiiiii sasa c nasoma comments za watu, ko umenitafuta kote hukuniona ukaona uje huku, huhuhuhuh haya bhana.

Nipo na nimejaa teleeeee, najua umeni mic ila unajistukia,
Au unataka nije jukwaa la sports tuanze kucharuanaaa???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu wangu weuweeeeeeeee,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bila mie mbna huendi, hupumui wala huemi,

Uwiiiiiii sasa c nasoma comments za watu, ko umenitafuta kote hukuniona ukaona uje huku, huhuhuhuh haya bhana.

Nipo na nimejaa teleeeee, najua umeni mic ila unajistukia,
Au unataka nije jukwaa la sports tuanze kucharuanaaa???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu wangu weuweeeeeeeee,
Sema nimemiss zaidi ile micharuo yako kule kwenye jukwaa la michezo! Umeninyanyasa sana aisee.

Ila hata wewe pia huwa nakumiss eti!! Sijui umeniwekea limbwata! 😃😃
 
Shida; akinamama wengi wako busy kutafuta maisha kama waume zao.
matokeo yake familia yote iko busy na watoto wanajilea wenyewe.

Kwa asili Mwanamke ni mlezi na sio mtafutaji wahela.

Tumekiuka nature, shida lazima zituandame tu.
 
Sema nimemiss zaidi ile micharuo yako kule kwenye jukwaa la michezo! Umeninyanyasa sana aisee.

Ila hata wewe pia huwa nakumiss eti!! Sijui umeniwekea limbwata! [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazimaaa unimic tyuuh mie najua mbna. Sasa huko jukwaa la soka enyewe mambo yapo kombe la dunia, sasa mie Kombe la dunia sina mzuka nalo, tena la mwaka huu sitaki hata kulisikia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] limbwataaa la kingonii mchezooo, bado nikuibee kabisaaaa, ngoja kombe la Dunia liishe, narudi kule kwa kasi ya ajabu. Full kucharuana na kuchangamshaa jukwaaaa.

Mic u piaa best, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom