Wanaume hatuwezi kuisha mkuu hizo mambo zilikuepo enzi na enzi.
Sema tu sasa hivi ni kama watu hawaogopi kuyafanya hadharani na hata wakigundulika hawaoni jau kwasababu wengi wanajua hayo mambo yapo. Mfano ni huyu kiumbe wa jf, anaefata watu PM.
Usiogope kuzaa mtoto wa kiume mkuu, kitu wanachokosea kinamama wengi ni ile ana mtoto wa kiume maybe wa miaka 8 au 9 na anamchukua kwenda kupiga umbea na mashoga zake.
Mtoto wa kiume kushinda na wanawake mda mrefu hua inawaathiri sana, mwache akacheze na wakiume wanzie aige tabia za kiume na sio zako wewe mama yake. Na kikubwa zaidi tumuombe Mungu.