cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungejua sasa Tabata na Sinza lol.We koma weee. Tabata hatuna huo upuuzi wako. Ni kinondoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungejua sasa Tabata na Sinza lol.We koma weee. Tabata hatuna huo upuuzi wako. Ni kinondoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi, sasa ulitaka waziri afánye nn? Haogopi?Asee ushoga n janga kubwa
Jana nilikuwa nacheki world cup mech ya Brazil vs cameroun bar moja Maarufu ya TITANIC POSH iliyopo vingunguti relini jiran na kituo Cha scania inayomilikiwa na waziri George simbachawene
Fm academia walikuwa hapo na mh wazir Naye alikuwepo na mkewe Cha ajabu mashoga yalikuwa yanafanya part yao hapo pia dah yaan mh Naye alikuwa anafurahia tu huku wakimtajataja hao mashoga yanakata viuno tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Khaaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eUngekisanua kwa mapolisi kwamba kuna mashoga wana party hapo: Ila dah unatumia TECNO alafu unaenda bar, aisee hiyo hela ya bia si ungezichanga ununue sim original?
Mabasha wengi ni waume za watu, Ushoga hauweżi kuishaaa kamweeeeh.Ushoga bila ya wale wanaowaingilia hao mashoga ungejifia. Tatizo tunaangalia matokeo (shoga) hatuangalii chanzo cha tatizo ambacho ni wale wanaowaingilia hao mashoga,unakuta Mtu kaoa ana mke ndani lakini ana muingilia mwanaume mwenzake. Na siku hizi kuna kamtindo kameingia Ukilewa Sana hujitambui,watu wanakukula (wanakulazimisha uwe shoga hata kama hutaki[emoji23])
Imeishaaaaa hiyooooooo.Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania, Rejeeni Kichwa cha habari hapo juu
Kipindi tukiwa tunaendelea na harakati za kupinga mapenzi ya Jinsia Moja. Tunawakataza watoto wetu kushiriki baadhi ya Michezo na hata kuangalia tamthilia zinazoonyesha hayo mambo
Tunasahau kwamba Wapenzi wa jinsia mbili tofauti (Me & ke) wanaoshiriki mapenzi kwa njia ya kinyume na maumbile nao pia ni chanzo cha Ushoga
Najaribu kujiuliza mwanaume aliyezoea kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile, anashindwa kumuingilia mwanaume mwenzie kweli?....
Ni ngumu kupata majibu sahihi lakini kwa maswali madogo tukiendelea kujiuliza tutagundua nao ni kundi moja la kueneza ushoga.
Ni ngumu kwa sisi kuzuia maana tendo linafanyika kwa siri na pia wanaofanya ni jinsia mbili tofauti ambapo sio kitu chakushtua kikawaida.
Sijui tunanusuru vipi kizazi chetu kwenye hili swala...Mungu atusaidie vizazi vyetu kwenye hili swala[emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kumbe unalijua hilo mlongo? Wee kuwa buzzy na mambo yako.Hahaha MKUU kikubwa familia yangu inalala pazur wanakula Milo 3 wanasoma shule nzuri kwangu hayo n maendeleo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mabasha wengi ni waume za watu, Ushoga hauweżi kuishaaa kamweeeeh.
😂😂😂😂😂Aseee nimecheka bora umenisaidia kuulizaHujaeleza kwa kina umebwata tu.
Baba kumpiga mke wake kunasababishaje mtoto awe shoga ?
Naona umeweka kambi kabisa! Maana hakuna nyuzi zinazokukuna humu jukwaani kama hizi za ushoga!Imeishaaaaa hiyooooooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bila mie mbna huendi, hupumui wala huemi,Naona umeweka kambi kabisa! Maana hakuna nyuzi zinazokukuna humu jukwaani kama hizi za ushoga!
Kazi kweli kweli.
Sema nimemiss zaidi ile micharuo yako kule kwenye jukwaa la michezo! Umeninyanyasa sana aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee bila mie mbna huendi, hupumui wala huemi,
Uwiiiiiii sasa c nasoma comments za watu, ko umenitafuta kote hukuniona ukaona uje huku, huhuhuhuh haya bhana.
Nipo na nimejaa teleeeee, najua umeni mic ila unajistukia,
Au unataka nije jukwaa la sports tuanze kucharuanaaa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu wangu weuweeeeeeeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazimaaa unimic tyuuh mie najua mbna. Sasa huko jukwaa la soka enyewe mambo yapo kombe la dunia, sasa mie Kombe la dunia sina mzuka nalo, tena la mwaka huu sitaki hata kulisikia.Sema nimemiss zaidi ile micharuo yako kule kwenye jukwaa la michezo! Umeninyanyasa sana aisee.
Ila hata wewe pia huwa nakumiss eti!! Sijui umeniwekea limbwata! [emoji2][emoji2]