Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Stability mutu ya Mikundu.
Wiki hii mada zako ni Spika tu.
Wiki hii mada zako ni Spika tu.
Na mm nimeonja asee ana toa jicho vizurYule binti kaomba msamaha kwa DOKTA Gwajima coz alileta taharuki!!
Hiyo tabia waachiwe CCM.Wanaua halafu wanalazimisha maridhiano na kunyamazia uhalifu.Kutubu si kupo mkuu
Toa ujinga huu, kichwani mwanaume anazaliwa kamili hakuna kitu kinaitwa mwanaume anatamani kufilwa. Mnazisingizia homonie sana.Weng wamezaliwa na hiyo hali ya kutaman kuingiliwa na wanaume wenzao.
Miaka 2000-2003 hiv nikiwa shule ya msing kuna dogo wa kiume alikuwa ana miaka 4-5 by that time. Alikuwa akivalishwa nguo za kiume analia. Anataka avae sketi.
Wakawa wanamchapa sana. Na kumlazimisha avae za kiume.
Kucheza alikuwa anacheza rege na makidamakida na sio mpira.
Akiwa form 4 nasikia akawa akitembea anajibenua matako na akawa ana mashosti wanawake kama wote.
Na miaka imepita. Nasikia kwa sasa dogo yuko Sinza ila ni Shoga kabisa.
Dogo ni hansome kama haszu
Pia Hana ndevu hata moja😂😂😂😂
Badala ya kuongelea utekaji watu wanawaua watu wenzao unaongelea watu ambao hawana Madhara kwako?Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.
Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!
Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.
Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
100%Hata haya mabording school sio salama, mtu una kitoto miaka 4 unampeleka huko kufanyaje ? Ndo wanajifunzia huko huu ufuska !!
Mimi mtoto wangu ataenda boarding akiwa anajielewa, advance! Hata olevo mwanangu sitaki aje kukaa huko, kwa huo umri bado anakuwa na akili za kushikiwa, hajielewi !!
Kwamba pepo wachafu wanakua wamewaingia?It's spiritual thing ....
Hakuna anaezaliwa na hulka hiyo...