Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Acha wafurahie maisha.
Au sioAcha wafurahie maisha.
Nakaa mbezi sijawahi kuwaona haotwende
Upo sehemu gani nikupitie twende QB BAR?Nakaa mbezi sijawahi kuwaona hao
YesAu sio
Haina noma acha sisi tulinde vinyeo vyetu
Kila mtu analinda chake.. mtu akiamua kukitoa mi ni nani nimzuie?Haina noma acha sisi tulinde vinyeo vyetu
🤣🤣🤣🤣Kila mtu analinda chake.. mtu akiamua kukitoa mi ni nani nimzuie?
Kwa mtazamo wangu....... Mtoto wa Kiume mwenye hulka ya kike hana tofauti na mtoto wa kike mwenye hulka ya Kiume (Tomboy) maana kwa tomboys nachokionaga ni kwamba wanakuwa na mahusiano na wanaume ingawa wana hulka za kiume; hivyo imani yangu mwanaume mwenye hulka ya kike sio ndio awe shoga ila ushoga naona unakuja kama byproduct ya jinsi wanaume wenye tamaa wanavyomchukulia, huyu mtoto akiingia kwenye kumi na nane za wale wanyama waliovalishwa miili ya binadamu (wanaopenda kwenda kwa mpalange kwa wanawake) basi hachomoi
Huyo sio Tomboy ni butch lesbian, ni watu wawili tofauti ingawa hulka zina fananaTomboy akiwa na hela anaoa.
😄😄😄😄😄😄🤣Sisi kipindi chetu 2002 yaani unapigwa ili unyamaze kulia na ukiendelea kulia ndio unapigwa adi unyamaze leo vitoto vinanyang'anywa remont vinalia