Kwani hii ni michezo🤔wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ubasha na michezo mingine inayopingwa na jamii,
Mapenzi ya jinsia Moja SI utamaduni wa kitanzaniaBREAKING NEWS
WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA/MABASHA WAPAZA SAUTI
- Waunga mkono Kauli ya Bunge la Ulaya kutaka Tanzania iwaheshimu, Imuachie Tundu Lissu
- wapongeza jitihada za wote wanaowatetea ndani na nje ya nchi ikiwemo Lissu na CHADEMA
- wawaomba viongozi wa dini wasiwatenge, wasiwanyanyase wawaheshimu kama wanavyoziheshimu jumuiya nyingine
Na. Mwandishi wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi kadhaa wa jijini Dar es Salaam wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ubasha na michezo mingine inayopingwa na jamii, wamesambaza waraka ulioambatana na video katika mitandao ya kijamii wakidai kutetewa na kusimamiwa maslahi na haki zao huku wakiliunga mkono azimio la bunge la ulaya lililoleti hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine bunge hilo lilijadili na kuitaka Tanzania kuheshimu haki za watu wanaojihusisha na mambo ya upinde
Katika waraka wao ulioambatana na video ambayo wameficha sura zao kwa walichokieleza kuwa ni sababu za kiusalama, wanaupinde hao wamesisitiza pia umuhimu wa jamii kuiunga mkono kampeni inayoendelea nchini ya NO REFORMS NO ELECTION inayofanywa na viongozi wa CHADEMA wakisema ikiwa REFORMS zitafanyika basi na wao watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo huku wakisisitiza kuachiwa huru kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.
Soma hapa chini waraka wao
Ndugu Watanzania,
sisi ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao baadhi yetu ni viongozi tunaowawakilisha jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja hapa nchini mwetu, ambao ni wasagaji, wasagwaji, waliobadilisha jinsia, mabasha na mashoga. Leo kwa umoja wetu tumeamua kuzungumza nanyi Watanzania wenzetu, ingawa tumezifunika nyuso zetu kwasababu za kiusalama.
Ndugu Watanzania wenzetu. Kufuatia matamko ya hivi makaribuni kufuatia maazimio ya Bunge la umoja wa ulaya, ambapo pamoja na mambo mengine, Bunge la umoja wa Ulaya limetuheshimisha kwa kutaka na sisi kutambuliwa rasmi na kuheshimiwa kama ambavyo jamii nyengine za kitanzania zinavyoheshimiwa hapa nchini mwetu. Hata hivyo shukurani kubwa, nyingi na za dhati tunazitoa kwa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hasa kwa mwenyekiti wake Mhe Tundulisu kwa kutekeleza ahadi waliyotuahidi na kwa kuisimamia ahadi hiyo kwa vitendo kwa kupeleka vilio vyetu vya muda mrefu kwa jumuiya mbali mbali za haki za binadamu pamoja na bunge la umoja wa ulaya.
Sisi kama jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja tunawaomba watanzania wenzetu haswa viongozi wetu wa dini kuacha kututenga, kutubeza na kutunyanyapaa kwani kufanya hivyo ni kinyume na haki za binadamu lakini pia zisitumike dini kwa kutulenga vibaya kwani kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu kila mmoja ana uhuru wa kuabudu dini anayoiamini ilimradi dini hiyo isikiuke sheria za nchi au hata kutoabudu kwa kutokua na dini yoyote ile kwasababu nchi yetu kwa mujibu wa katiba na sheria zetu haina dini.
Aidha tunatoa wito kwa taasisi mbali mbali za haki za binadamu, Asasi za kiraia pamoja na vyama mbali mbali vya siasa nchini kupaza sauti zao kwa ajili ya kuheshimu haki zetu kama ambavyo sisi tunaheshimu haki za jamii nyengine. Pamoja na hayo tunaungana na taasisi mbali mbali za haki za binadamu, viongozi mbali mbali pamoja na bunge la umoja wa ulaya kwa kutaka kuachiliwa mara moja bila ya masharti yoyote mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Mhe Tundulisu, kwasababu tunaamini kesi aliyoshitakiwa nayo ni kesi ya kupangwa dhidi yake kwasababu ya utetezi wake wa haki za binadamu kwa Watanzania wote bila ya ubaguzi.
Pamoja na mambo mengine tunaunga mkono NO REFORMS NO ELECTION kwasababu zikifanyika REFORMS tunaamini zitalinda haki mbali mbali zikiwemo haki zetu sisi, kama ambavyo tumekua tukizililia haki hizo kwa muda mrefu. Ahsanteni kwa kutusikiliza.
#TANZANIA BILA YA KUBAGULIWA KWA WAPENZI WA JINSIA MOJA NA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO INAWEZEKANA.
Kwani wangeandika Mabasha wa MAMA kungekuwa na ubaya gani,Chadema haiitaji kusifiwaBREAKING NEWS

😂😂😂😂😂Mabasha wa MAMA
Huyu ajuza hana ndoa na sahivi ni bibi wa miaka 50 hajawahi kuoelewa sababu ya upumbavu wake kama huuCCM ina watu wengi wa maana inakuwaje Lofa kama huyu analeta upuuzi wa hivi?...
Propaganda kama hizi za kipumbavu ni kwa watu wenye low IQ....
Unajua nchi inahitaji maendeleo sasa kwa staili ya huyu kilaza ni ngumu...
Wasagaji wa mama!🤣🤣🤣Mabasha wa MAMA