Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mashoga wapo sahv social media unaona kirahisi
Walaaniwe wanaokula wanaume wenzao
Sio wanaume tu wanakula mpaka wanawake tena wanawake ndio % kubwa haswa haswa hawa watoto wa 2000 mlango wa nyuma ushafunguliwa sana
 
Dume zima anakuna nazi
Nyie endeleeni kuwachekea ile media pendant yenu na wasanii wake tu
Natamani kuona watoto wa vigogo wa kiume wakifukuliw mitar labda akili zao zitakaa sawa

Ova
 
kitambaa cheupe sahivi mashoga wengi kuliko hata wanawake, sad!!
 
Eneo lolote ambalo lina sifa za wanawake kuingiliwa kinyume na maumbile, basi issue za upunga hukua kwa kasi sana.
 
Ningependa kuiona orodha ya mashoga maarufu hapa Tanzania, then tuambizane asili yao ni mikoa ipi
 
Toka lini mwanaume akaimba taarabu na asiwe na tabia za kichoko?!Huo ukanda wote huwaambii kitu kuhusu taarabu
 
BREAKING NEWS

WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA/MABASHA WAPAZA SAUTI

  • Waunga mkono Kauli ya Bunge la Ulaya kutaka Tanzania iwaheshimu, Imuachie Tundu Lissu
  • wapongeza jitihada za wote wanaowatetea ndani na nje ya nchi ikiwemo Lissu na CHADEMA
  • wawaomba viongozi wa dini wasiwatenge, wasiwanyanyase wawaheshimu kama wanavyoziheshimu jumuiya nyingine

Na. Mwandishi wetu

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi kadhaa wa jijini Dar es Salaam wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ubasha na michezo mingine inayopingwa na jamii, wamesambaza waraka ulioambatana na video katika mitandao ya kijamii wakidai kutetewa na kusimamiwa maslahi na haki zao huku wakiliunga mkono azimio la bunge la ulaya lililoleti hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine bunge hilo lilijadili na kuitaka Tanzania kuheshimu haki za watu wanaojihusisha na mambo ya upinde

Katika waraka wao ulioambatana na video ambayo wameficha sura zao kwa walichokieleza kuwa ni sababu za kiusalama, wanaupinde hao wamesisitiza pia umuhimu wa jamii kuiunga mkono kampeni inayoendelea nchini ya NO REFORMS NO ELECTION inayofanywa na viongozi wa CHADEMA wakisema ikiwa REFORMS zitafanyika basi na wao watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo huku wakisisitiza kuachiwa huru kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.

Soma hapa chini waraka wao

Ndugu Watanzania,

sisi ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao baadhi yetu ni viongozi tunaowawakilisha jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja hapa nchini mwetu, ambao ni wasagaji, wasagwaji, waliobadilisha jinsia, mabasha na mashoga. Leo kwa umoja wetu tumeamua kuzungumza nanyi Watanzania wenzetu, ingawa tumezifunika nyuso zetu kwasababu za kiusalama.

Ndugu Watanzania wenzetu. Kufuatia matamko ya hivi makaribuni kufuatia maazimio ya Bunge la umoja wa ulaya, ambapo pamoja na mambo mengine, Bunge la umoja wa Ulaya limetuheshimisha kwa kutaka na sisi kutambuliwa rasmi na kuheshimiwa kama ambavyo jamii nyengine za kitanzania zinavyoheshimiwa hapa nchini mwetu. Hata hivyo shukurani kubwa, nyingi na za dhati tunazitoa kwa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hasa kwa mwenyekiti wake Mhe Tundulisu kwa kutekeleza ahadi waliyotuahidi na kwa kuisimamia ahadi hiyo kwa vitendo kwa kupeleka vilio vyetu vya muda mrefu kwa jumuiya mbali mbali za haki za binadamu pamoja na bunge la umoja wa ulaya.

Sisi kama jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja tunawaomba watanzania wenzetu haswa viongozi wetu wa dini kuacha kututenga, kutubeza na kutunyanyapaa kwani kufanya hivyo ni kinyume na haki za binadamu lakini pia zisitumike dini kwa kutulenga vibaya kwani kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu kila mmoja ana uhuru wa kuabudu dini anayoiamini ilimradi dini hiyo isikiuke sheria za nchi au hata kutoabudu kwa kutokua na dini yoyote ile kwasababu nchi yetu kwa mujibu wa katiba na sheria zetu haina dini.

Aidha tunatoa wito kwa taasisi mbali mbali za haki za binadamu, Asasi za kiraia pamoja na vyama mbali mbali vya siasa nchini kupaza sauti zao kwa ajili ya kuheshimu haki zetu kama ambavyo sisi tunaheshimu haki za jamii nyengine. Pamoja na hayo tunaungana na taasisi mbali mbali za haki za binadamu, viongozi mbali mbali pamoja na bunge la umoja wa ulaya kwa kutaka kuachiliwa mara moja bila ya masharti yoyote mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Mhe Tundulisu, kwasababu tunaamini kesi aliyoshitakiwa nayo ni kesi ya kupangwa dhidi yake kwasababu ya utetezi wake wa haki za binadamu kwa Watanzania wote bila ya ubaguzi.

Pamoja na mambo mengine tunaunga mkono NO REFORMS NO ELECTION kwasababu zikifanyika REFORMS tunaamini zitalinda haki mbali mbali zikiwemo haki zetu sisi, kama ambavyo tumekua tukizililia haki hizo kwa muda mrefu. Ahsanteni kwa kutusikiliza.

#TANZANIA BILA YA KUBAGULIWA KWA WAPENZI WA JINSIA MOJA NA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO INAWEZEKANA.
 

Attachments

  • VID-20250515-WA0008.mp4
    26.8 MB
Back
Top Bottom