Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

BREAKING NEWS

WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA/MABASHA WAPAZA SAUTI

  • Waunga mkono Kauli ya Bunge la Ulaya kutaka Tanzania iwaheshimu, Imuachie Tundu Lissu
  • wapongeza jitihada za wote wanaowatetea ndani na nje ya nchi ikiwemo Lissu na CHADEMA
  • wawaomba viongozi wa dini wasiwatenge, wasiwanyanyase wawaheshimu kama wanavyoziheshimu jumuiya nyingine

Na. Mwandishi wetu

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi kadhaa wa jijini Dar es Salaam wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ubasha na michezo mingine inayopingwa na jamii, wamesambaza waraka ulioambatana na video katika mitandao ya kijamii wakidai kutetewa na kusimamiwa maslahi na haki zao huku wakiliunga mkono azimio la bunge la ulaya lililoleti hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine bunge hilo lilijadili na kuitaka Tanzania kuheshimu haki za watu wanaojihusisha na mambo ya upinde

Katika waraka wao ulioambatana na video ambayo wameficha sura zao kwa walichokieleza kuwa ni sababu za kiusalama, wanaupinde hao wamesisitiza pia umuhimu wa jamii kuiunga mkono kampeni inayoendelea nchini ya NO REFORMS NO ELECTION inayofanywa na viongozi wa CHADEMA wakisema ikiwa REFORMS zitafanyika basi na wao watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo huku wakisisitiza kuachiwa huru kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.

Soma hapa chini waraka wao

Ndugu Watanzania,

sisi ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao baadhi yetu ni viongozi tunaowawakilisha jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja hapa nchini mwetu, ambao ni wasagaji, wasagwaji, waliobadilisha jinsia, mabasha na mashoga. Leo kwa umoja wetu tumeamua kuzungumza nanyi Watanzania wenzetu, ingawa tumezifunika nyuso zetu kwasababu za kiusalama.

Ndugu Watanzania wenzetu. Kufuatia matamko ya hivi makaribuni kufuatia maazimio ya Bunge la umoja wa ulaya, ambapo pamoja na mambo mengine, Bunge la umoja wa Ulaya limetuheshimisha kwa kutaka na sisi kutambuliwa rasmi na kuheshimiwa kama ambavyo jamii nyengine za kitanzania zinavyoheshimiwa hapa nchini mwetu. Hata hivyo shukurani kubwa, nyingi na za dhati tunazitoa kwa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hasa kwa mwenyekiti wake Mhe Tundulisu kwa kutekeleza ahadi waliyotuahidi na kwa kuisimamia ahadi hiyo kwa vitendo kwa kupeleka vilio vyetu vya muda mrefu kwa jumuiya mbali mbali za haki za binadamu pamoja na bunge la umoja wa ulaya.

Sisi kama jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja tunawaomba watanzania wenzetu haswa viongozi wetu wa dini kuacha kututenga, kutubeza na kutunyanyapaa kwani kufanya hivyo ni kinyume na haki za binadamu lakini pia zisitumike dini kwa kutulenga vibaya kwani kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu kila mmoja ana uhuru wa kuabudu dini anayoiamini ilimradi dini hiyo isikiuke sheria za nchi au hata kutoabudu kwa kutokua na dini yoyote ile kwasababu nchi yetu kwa mujibu wa katiba na sheria zetu haina dini.

Aidha tunatoa wito kwa taasisi mbali mbali za haki za binadamu, Asasi za kiraia pamoja na vyama mbali mbali vya siasa nchini kupaza sauti zao kwa ajili ya kuheshimu haki zetu kama ambavyo sisi tunaheshimu haki za jamii nyengine. Pamoja na hayo tunaungana na taasisi mbali mbali za haki za binadamu, viongozi mbali mbali pamoja na bunge la umoja wa ulaya kwa kutaka kuachiliwa mara moja bila ya masharti yoyote mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Mhe Tundulisu, kwasababu tunaamini kesi aliyoshitakiwa nayo ni kesi ya kupangwa dhidi yake kwasababu ya utetezi wake wa haki za binadamu kwa Watanzania wote bila ya ubaguzi.

Pamoja na mambo mengine tunaunga mkono NO REFORMS NO ELECTION kwasababu zikifanyika REFORMS tunaamini zitalinda haki mbali mbali zikiwemo haki zetu sisi, kama ambavyo tumekua tukizililia haki hizo kwa muda mrefu. Ahsanteni kwa kutusikiliza.

#TANZANIA BILA YA KUBAGULIWA KWA WAPENZI WA JINSIA MOJA NA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO INAWEZEKANA.
Dunia nzima hakuna haki za kibinaadamu ao watu wa ulaya kwanini wasiende Gaza wakazitete izo haki ndipo waje kwenu kama wameshindwa kule basi na hapa watashindwa waache unafiki
 
Hilo tamKo lina mkono wa CCM na wahuni. Lengo ni kuichafua CHADEMA kwamba ni chama cha MABASHA, WASAGAJI NA WASWAGI
Hata mimi naona CCM ni kama wanataka kutengeneza mchezo ambao watashindwa kuucheza. Huu mchezo utawasambaratisha siku si nyingi.

Kwanza wataanza kurushiana maneno wenyewe kwa wenyewe. Mfano ni hili la Ibra na Konde. Hii ni ishu imetengeneza na kufanya watu wasifuatilie mambo ya siasa na uchaguzi. Wananchi wafualie hayo mambo yao ya kishetani
 
BREAKING NEWS

WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA/MABASHA WAPAZA SAUTI

  • Waunga mkono Kauli ya Bunge la Ulaya kutaka Tanzania iwaheshimu, Imuachie Tundu Lissu
  • wapongeza jitihada za wote wanaowatetea ndani na nje ya nchi ikiwemo Lissu na CHADEMA
  • wawaomba viongozi wa dini wasiwatenge, wasiwanyanyase wawaheshimu kama wanavyoziheshimu jumuiya nyingine

Na. Mwandishi wetu

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi kadhaa wa jijini Dar es Salaam wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, ubasha na michezo mingine inayopingwa na jamii, wamesambaza waraka ulioambatana na video katika mitandao ya kijamii wakidai kutetewa na kusimamiwa maslahi na haki zao huku wakiliunga mkono azimio la bunge la ulaya lililoleti hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine bunge hilo lilijadili na kuitaka Tanzania kuheshimu haki za watu wanaojihusisha na mambo ya upinde

Katika waraka wao ulioambatana na video ambayo wameficha sura zao kwa walichokieleza kuwa ni sababu za kiusalama, wanaupinde hao wamesisitiza pia umuhimu wa jamii kuiunga mkono kampeni inayoendelea nchini ya NO REFORMS NO ELECTION inayofanywa na viongozi wa CHADEMA wakisema ikiwa REFORMS zitafanyika basi na wao watakuwa wanufaika wakubwa wa reforms hizo huku wakisisitiza kuachiwa huru kwa mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.

Soma hapa chini waraka wao

Ndugu Watanzania,

sisi ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao baadhi yetu ni viongozi tunaowawakilisha jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja hapa nchini mwetu, ambao ni wasagaji, wasagwaji, waliobadilisha jinsia, mabasha na mashoga. Leo kwa umoja wetu tumeamua kuzungumza nanyi Watanzania wenzetu, ingawa tumezifunika nyuso zetu kwasababu za kiusalama.

Ndugu Watanzania wenzetu. Kufuatia matamko ya hivi makaribuni kufuatia maazimio ya Bunge la umoja wa ulaya, ambapo pamoja na mambo mengine, Bunge la umoja wa Ulaya limetuheshimisha kwa kutaka na sisi kutambuliwa rasmi na kuheshimiwa kama ambavyo jamii nyengine za kitanzania zinavyoheshimiwa hapa nchini mwetu. Hata hivyo shukurani kubwa, nyingi na za dhati tunazitoa kwa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hasa kwa mwenyekiti wake Mhe Tundulisu kwa kutekeleza ahadi waliyotuahidi na kwa kuisimamia ahadi hiyo kwa vitendo kwa kupeleka vilio vyetu vya muda mrefu kwa jumuiya mbali mbali za haki za binadamu pamoja na bunge la umoja wa ulaya.

Sisi kama jamii yenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja tunawaomba watanzania wenzetu haswa viongozi wetu wa dini kuacha kututenga, kutubeza na kutunyanyapaa kwani kufanya hivyo ni kinyume na haki za binadamu lakini pia zisitumike dini kwa kutulenga vibaya kwani kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu kila mmoja ana uhuru wa kuabudu dini anayoiamini ilimradi dini hiyo isikiuke sheria za nchi au hata kutoabudu kwa kutokua na dini yoyote ile kwasababu nchi yetu kwa mujibu wa katiba na sheria zetu haina dini.

Aidha tunatoa wito kwa taasisi mbali mbali za haki za binadamu, Asasi za kiraia pamoja na vyama mbali mbali vya siasa nchini kupaza sauti zao kwa ajili ya kuheshimu haki zetu kama ambavyo sisi tunaheshimu haki za jamii nyengine. Pamoja na hayo tunaungana na taasisi mbali mbali za haki za binadamu, viongozi mbali mbali pamoja na bunge la umoja wa ulaya kwa kutaka kuachiliwa mara moja bila ya masharti yoyote mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Mhe Tundulisu, kwasababu tunaamini kesi aliyoshitakiwa nayo ni kesi ya kupangwa dhidi yake kwasababu ya utetezi wake wa haki za binadamu kwa Watanzania wote bila ya ubaguzi.

Pamoja na mambo mengine tunaunga mkono NO REFORMS NO ELECTION kwasababu zikifanyika REFORMS tunaamini zitalinda haki mbali mbali zikiwemo haki zetu sisi, kama ambavyo tumekua tukizililia haki hizo kwa muda mrefu. Ahsanteni kwa kutusikiliza.

#TANZANIA BILA YA KUBAGULIWA KWA WAPENZI WA JINSIA MOJA NA KUHESHIMIWA KWA HAKI ZAO INAWEZEKANA.
Tatizo una IQ kwa digit moja (Single Digit IQ, typical(
 
Hizi ni propaganda kutoka kikundi fulani, kinachotaka kuuhadaa umma wa nchi, kuhusu Agenda yao, ni lini wadau wa LGBTQ wakaandamana wazi wazi hivi tena hapa kwetu? Nani ana huo uthubutu? Na km ni kweli kwann wafiche sura?

Huu mchezo hata mtoto mdogo asiye na ufahamu hawezi hadaika, labda wapumbavu pekee. Lol
Kuishiwa kwa mbinu ya mapambano, 😳😳😳

Video hailengi watu aina yako. Wanajua ni kina nani wanawatafuta na idadi yao.

Hii nchi ina mtu ambae amenunua simu na kulipia elfu hamsini zaidi ili awekewe whatsap na mlio mzuri wa ringtone, imagine sasa huyo ndo katumiwa hii video kwenye simu yake mpya.
 
Mashoga wamenena wenyewe na bado anakuja kijana mwenye akili ndogo kutoka chadema na kupinga ukweli. Na bado tutaona mengi sana mwaka huu
Baada ya kuona mbilikimo,wasanii na wengine sasa mnaleta watu wa ajabu kwa ili ccm mtakodi mpaka fisi wa simiyu ili muonesehe kuwa nyie chama pendwa.alisikika ashimu rungwe wa ubwabwa
Esema
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
 
Sauti kama yule dada wa yanga anasemaga hatuchezi na Tshirt yake ya Njano.
 
Daktari rafiki yangu yupo Taasisi moja nyeti ya Kiserikali akiwa na NGO moja ya masuala ya afya. Anasema Tanzania Matakataka ni mengi sana. Na kipindi hiki yanatumika sana na wanasiasa na matajiri. Kiimani wanasema yanaongezea Nguvu kwao.

Yaani ni ushetani mkubwa unaendelea wa haya matakataka na wanasiasa wameamua kabisa kujiolea. Yanatunzwa vizuri yanapewa pesa kuzunguka Duniani. Yanapendeza.

Haya mataka taka hujihusisha na music, uigizaji, fashion na utangazaji. Akanitajia watu 27 ambao ni prominent figures. Na akasema wanaotoka nao. Wakiwemo watangazaji maarufu sana wakongwe mmoja aliolewa na mzungu akaachika akaolewa na Mwarabu.
 
Yako wapi hayo mashoga, mbona sie wengine hatuyaoni huku, au sie tunaishi vijijini?
 
Mashoga yapo mengi sana sikuhizii tena wattot adi niaka 16 kuna bar fulani ukiend jmos aki unaweza hisi upo thailand yani kila sehem mchele. Na watu hawajui ukimla mwenzio nawe ni shoga ni suala la muda tu
 
Hivi mmeshagundua kuwa Dar kwasasa vitendo hivi vimeongezeka maradufu kupita 2020s? Serikali yetu ipo wapi? Maadili yanaporomoka kila dakika.

Cha ajabu mitandaoni wanajitangaza na Serikali wapo wanaona na hawajawahi kutoka kukemea zaidi ya chief hangaya kusema vitendo hivyo visifanyike kwa watoto ila watu wazima 😞

Maeneo kama
KINONDONI
SINZA
TABATA
UBUNGO
ILALA YOTEEE
MIKOCHENI
BUZA
MBAGARA
G. MBOTO NA
MBEZI LUIS

Huku pote huwezi pita siku hujaona hawa voumbe....

JE! NINI KIFANYIKE????
 
Back
Top Bottom