Clever505
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 2,282
- 3,351
Ila mada imejikita kwenye watoto wadogo sio over 18, umegundua hilo?Mtoto akifika 18 ni out of control na linakuwa vita bangi lihuni apo alaumiwe mzazi au mtoto??
Ila mada imejikita kwenye watoto wadogo sio over 18, umegundua hilo?Mtoto akifika 18 ni out of control na linakuwa vita bangi lihuni apo alaumiwe mzazi au mtoto??
Uko sawa kabisaDaktari rafiki yangu yupo Taasisi moja nyeti ya Kiserikali akiwa na NGO moja ya masuala ya afya. Anasema Tanzania Matakataka ni mengi sana. Na kipindi hiki yanatumika sana na wanasiasa na matajiri. Kiimani wanasema yanaongezea Nguvu kwao.
Yaani ni ushetani mkubwa unaendelea wa haya matakataka na wanasiasa wameamua kabisa kujiolea. Yanatunzwa vizuri yanapewa pesa kuzunguka Duniani. Yanapendeza.
Haya mataka taka hujihusisha na music, uigizaji, fashion na utangazaji. Akanitajia watu 27 ambao ni prominent figures. Na akasema wanaotoka nao. Wakiwemo watangazaji maarufu sana wakongwe mmoja aliolewa na mzungu akaachika akaolewa na Mwarabu.
Iko buza sioMashoga yapo mengi sana sikuhizii tena wattot adi niaka 16 kuna bar fulani ukiend jmos aki unaweza hisi upo thailand yani kila sehem mchele. Na watu hawajui ukimla mwenzio nawe ni shoga ni suala la muda tu
Kuna vijana wanatoka mikoani wakifika Dar hawna pa kwenda hawa ni wahanga wakubwa wa vitendo vya ushoga kwani wanalazimishwa bila kupendaChanzo kikuu cha ushoga ni ukatili nitaeleza jambo hapa;
Nikisema ukatili sio tu ule ukatili wa kijinsia wa kulawiti watoto na vijana hapana kwani ukatili huu unachangia kwa asilimiaa ndogo sana pengine isifike 10%
Ukatili wa baba kumpiga mkewe au kutengana naye kwa visa vya ukatili, huu ndio kiini hasa cha ushoga maeneo mengi ya Tz, ukifuatilia mashoga wengi utagundua hili swala. Sasa kwanini hili linachangia na linachangia vipi?, Hii ni mada pana kidogo wakuu.
Mtani, ushoga hauhusiani na malezi ya mdeko kupita kiasi.Chanzo cha yoote haya ni sisi wazazi kuwalea watoto kwa kuwadekeza kupita kiasi.
Japo Yote kwa yoote, tulee tunavyolea kikubwa kwa wale wenye imani tusichoke kumuomba M'Mungu pia ili awe ni mwenye kuwaongoza vyema kila uchwao.
Kwani kikawaida hakuna bingwa wa kulea.
Una hoja pia.Pia Uzinifu umechangia pakubwa tatizo hili uzinifu umezalisha panya road na uncle T wengi sanaa
Leo hii usipozini unaonekana mshamba tuu lakini ndani yangu uzinifu siupendi haswaa
Why are you?Huyo ni wewe
Toa darasaMtani, ushoga hauhusiani na malezi ya mdeko kupita kiasi.
Kuna vitu bado hamvijui kuhusu ushoga..
Amini nawaambia
Subiri nitaleta.Toa darasa