Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Toa ujinga huu, kichwani mwanaume anazaliwa kamili hakuna kitu kinaitwa mwanaume anatamani kufilwa. Mnazisingizia homonie sana.

Ushoga ni Tabia mbaya yenye Uraibu..

Unazaliwa tarabulasa yani hujui kitu, ila Dunia na walimwengu wake wanakufunza kila kitu.

Nauchukia ushoga sana.
 
Jamii ya magharib inatumia mbinu nyingi kuhakikisha Tanzania inatumbukia kwenye huu uchafu.

Maeneo ya zanzibar na Dar ndiyo yamekuwa maeneo sugu.utakuta watoto wa kiume wapo kikike sana.na hata wengin wakitongozwa na wanaume wenzio.

Zanzibar kumewahi kuripotiwa ndoa ya jinsia ya moja.ushoga n njia nyingin ambayo mzungu anatumia kuiangamiza Tanzania.

Maana bila wanaume hamna taifa lijalo.japo wanatumia pesa kuhakisha ushoga utaenea Tanzania.

Ila tukiungana tutaweza kuikomesha hil janga.naipenda taifa langu.
 
Kwani ndoa za jinsia moja zishawahi kufungwa hapa Tz.? Mapenzi ya jinsia moja tu ndiyo yameshamiri.👬🌈

Wawekezaji wa viwanda vya Pampasi wakaribishwe kwa mwingi tu. Fulsa
 
Kwani ndoa za jinsia moja zishawahi kufungwa hapa Tz.? Mapenzi ya jinsia moja tu ndiyo yameshamiri.👬🌈

Wawekezaji wa viwanda vya Pampasi wakaribishwe kwa mwingi tu. Fulsa
 
Hata haya mabording school sio salama, mtu una kitoto miaka 4 unampeleka huko kufanyaje ? Ndo wanajifunzia huko huu ufuska !!

Mimi mtoto wangu ataenda boarding akiwa anajielewa, advance! Hata olevo mwanangu sitaki aje kukaa huko, kwa huo umri bado anakuwa na akili za kushikiwa, hajielewi !!
 
Kuna mmoja alileta hoja ya tomatto ndo tatizo hasa wala chips ukanda wa pwani

Sifahamu alikua sahihi au ulikua mtazamo tu
 
Badala ya kuongelea utekaji watu wanawaua watu wenzao unaongelea watu ambao hawana Madhara kwako?
 
100%
 
Ni hatari na huko ndio vijana wanapatia pesa za mitaji, wanafungua kama taasisi za mikopo kwa vijana, alafu kigezo ni kupinduana...
 
Je mtu anazaliwa akiwa na hurka hii au hujitengenezea katika malezi au ni balaa laana ambayo imepoint familia fulani?

Karibuni
 
kuwa shoga au msagaji ni ugonjwa wa akili na ni kasoro kubwa mno na kubwa sana inayohitaji “kutibiwa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…