Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sikiliza video hio. Utaona jinsi gani mikoa ya nyanda za juu kusini imeshika kasi
 

Attachments

  • 608ff6a6eaf1aefb4379186cde9291a7_1790010227042.mp4
    8.3 MB
Hivi hizi mada huwa mnazipendea nini? Trump kajitahidi kuichangamsha dunia tumeanza kusahau hayo matakataka bali ninyi kutwa kucha mnayaleta humu!
 
Hichi kitu kisikie ila kisiwepo kwenye famlia yako tunamuona kama chizi ila hii kitu inawaumiza wazaz sana ww kama baba mtoto wako wa kiume umemzaa vizur bila homoni za mchanganyiko ni mwanaume halafu mtu anakuja muharibu kama sio mzaz huwez muelewa huyo kaka
 
Malezi yazingatiwe

Mengine ni mtu mzima utamlinda mpk lini kama hajitambui na kuwaheshimisha ndo kazi ipo hapo ..... Mengine watoto wanajitakia wenyewe wazazi wasihusishwe
 
Kabisa na wanao tetea ndo hao hao Pepsi imeisha gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…