Hoja nzima ya kuishi kwa kuogooa jamii itakavyokuangalia ni potofu.U najua jamii inayo wazunguka itakavyo waangalia
Mbona unatetea Sana hii issues mkuuHoja nzima ya kuishi kwa kuogooa jamii itakavyokuangalia ni potofu.
Kwa msingi huo hata wewe usiyependa ushoga, ukienda kwenye jamii ya mashoga, utakuwa shoga tu, si kwa sababu unapenda ushoga, bali kwa sababu unaishi kwa kuogopa jamii inayokuzunguka itakavyokuangalia.
Ni hoja ya kiboya sana, utapelekwapelekwa na jamii tu bila kujali wewe mwenyewe unataka nini.
Angalia listi ya wapiga kelele wa ushoga walio mstari wa mbele, karibia 99% wanatokea bara.Sijaelewa hata nukta, embu fanya kunielewesha mkuu, hivo pwani wamezoea ushoga au sio, hata hivo ndio Kuna chimbuko kubwa sana na wa Jumbe wake
Mapadri huko Moshi wamelawati sana watoto wa kiume.Kwa maeneo ya pwan,ushoga ni kitu ambacho ni mnazaliwa mnakikuta,ndio maana unaona kawaida.kama ujatiwa chululu,basi umetiwa vidole,tena bahati mbaya wanaoanza kuwafanya hivo ni ndugu zenu (mjomba)
Wewe ushawahi kutiwa chululuMapadri huko Moshi wamelawati sana watoto wa kiume.
Watu wa bara hasa Wasukuma ndio wanaoongoza kwa kuwehuka na kelele za ushoga. Huwezi kuwakuta watu wa Pwani wakiwa wanaotokwa povu au kushughuliswha sana na haya mambo ya ushoga. Watu wa Pwani wataendelea kuwakalia sana watu wa bara kwa ujinga wao wa aina hii.
Ukiangalia trend ni Mwakyembe na yule mwanamke wake (sijui waliishia wapi), Chacha huko Tabora anakamata mipira ya miguu ya ushoga, Musiba na vigazeti vyake uchwara akiwataja wapinzani wa Magufuli kuwa mashoga, Makonda na Sasa Dudubaya na Thomas Kampala wa Katavi huko bungeni ndio wameshikilia usukani.
Kuna tatizo kubwa kwa watu wa bara, wanahangaishwa sana na ngono na ushoga, hata fumanizi la kwanza la ushoga limefanyika Arusha kwa watu wa bara!
Hao waporipori hawanitishi, watakavyokuja ndivyo nitawapokea.Yoda naimani umejipanga vema kwa mashambulizi ya watu wa bara
Mbona wewe kufanya zinaa unaona ujanjaKwa hiyo kufanya ushoga ni ujanja?
Tukianza kuhesabu hivyo mbona tutakimbiana, nipo kanda ya ziwa huku kwa zaidi ya mwezi matukio ninayokusanya kuhusu ubakaji na ulawiti yanatishaaa..... na hujamuelewa mleta mada amesema WANAOPIGA KELELELile tukio la Askari wa kule zenji akiikatikia kabisa kijiti cha kidume mwenzake hukuiona??? Darisalamu ya Anko T huioni wewe???
Nenda Magomeni, Kinondoni, Sinza, n.k. huko hakuna Machoko???
Hakuna sehemu niliyo sema kufanya zinaa ni ujanja.Mbona wewe kufanya zinaa unaona ujanja