lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Hakuna alichojipanga chochote, shimo la panya limeshapuliziwa sumu panya wote wanatoka mashimoni sasa na mtashangaa sana orodha yao ni ndefuYoda naimani umejipanga vema kwa mashambulizi ya watu wa bara
Huwa naona vitoto vya kizanzibari vinavyo jiita vijana, vinaongea huku vikilegeza sauti kama dada zao.Kwa hiyo kufanya ushoga ni ujanja?
Mkuu ukiona mtu anafanya hivi jua kabisa na yeye anaona ni vyema hilo jambo liendelee kuwepo kama sio muhusika.Nafikiri watu wa bara wanapiga kelele zaidi kwasababu huko kwao hayo mambo ni chukizo...
Watu wa pwani huenda ushoga ni mambo yao...
Namkumbuka yule askari mzenji aliyeonekana kwenye video mjongeo akikatikia mboo, naishiwa hamu manina...
Ushoga ni life style hukohuko mnakoishi na siyo Africa, hatuna life style za namna hiyo.Haya naona sasa polepole naona tunatoka kubaguana Wazanzibari na Watanganyika, Watanganyika wenyewe tunajiona si wamoja kumbe nasi tuna wa bara na wa pwani.
Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, ukila huachi.
Mimi Msukuma na nimekuwa mstari wa mbele kusema wanaoshadadia kuusema ushoga ni wajinga tu.
Ushoga ni lifestyle ya mtu akiamua tu.
Kwa hiyo nime disprove hoja kwamba hili ni tatizo la Wasukuma.
Tuache ukabila.
Hayo makabila yenyewe yako arbitrary tu.
Hakuna shetaniUshoga ukemewe kwa nguvu zote, ni ushetani usiomithilika, tukemee ushoga tuokoe vizazi vijavyo dhidi ya ushetani huu
Thibitisha hakuna shetaniHakuna shetani
Usimsahau Afande Rama wa ZanzibarMapadri huko Moshi wamelawati sana watoto wa kiume.
Sawa mkuu tak* ni lako acha walishughulikieUnakuathiri vipi wewe ??
Kaka jiongezee...punga hilo.Sijaelewa hata nukta, embu fanya kunielewesha mkuu, hivo pwani wamezoea ushoga au sio, hata hivo ndio Kuna chimbuko kubwa sana na wa Jumbe wake
Wewe hujui hata unachoandika nikibishana nawe unaishia kunipa kazi ya kuthibitisha hoja zako wewe mwenyewe, gibberish tupu.Ushoga ni life style hukohuko mnakoishi na siyo Africa, hatuna life style za namna hiyo.
Africa human rights zina kikomo.
Huyo Trump ni kichaa lakini jambo hakubaliani nalo.
Igeni mazuri yote huko mlipo lakini msiige hili la kutowa ****** ni haki ya mtu, huu ni upumbavu na ujuha.
Unaona elimu inavyo haribu watu?Ushoga ni lifestyle ya mtu akiamua tu.
Mtu ukiahafikia hatua za kuingiza insecure ego kwenye majibizano unaonekana ndezi tu.Hujafikisha viwango vya kujibizana nami.
Acheni kujishughulisha na matako ya watu, huo ni upumbavu mkubwa.Sawa mkuu tak* ni lako acha walishughulikie
Kisichopo hakithibtishiki, kinachothibitishwa ni kilichopo.Thibitisha hakuna shetani