Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Dudubaya, Makonda na Katambi wote Wasukuma.
 
Tunawakemea kwasababu ushoga upo coastal regions, Dsm, Tanga,na Zanzibar kwa kiasi kikubwa
 
Dudubaya, Makonda na Katambi wote Wasukuma.

That is a logical non sequitur fallacy.

Correlation does not equal causation.

Unaelewa maana ya huo msemo?

Kwamba wao ni Wasukuma na wamesema hivyo haimaanishi Usukuma wao ndio umewafanya waseme hivyo, inawezekana Wasukuma ni wengi tu na statistically ukitafuta maneno ya kijinga kasema nani utakuta Wasukuma wengi wamesema, kwa sababu wao wako wengi katika population.

Sasa unajuaje wanasema vile si kwa sababu ni wajinga, hawaijui dunia, hawajatembea, na ni kwa sababu ni Wasukuma?

Makonda, Dudubaya na Katambi wote ni washamba tu, hilo ndilo tatizo lao.

Kati ya Dudubaya, Makonda na Katambi nani kasoma nje ya Tanzania?

Achana na kusoma nje, hata hapo nyumbani mtu anaweza kujiongeza.

Nani alikuwa na card ya library huko Kolomije alivyokuwa shule ya msingi kati yao?

They are all semi-literate yokels barely out of abject poverty. That is the problem.

They are all insular, ignorant, incurious country bumpkins. Hawaijui dunia. Hilo ndilo tatizo lao.

Wasukuma tuliokaa Oysterbay tangu enzi za Nyerere na kusoma New York City tunaelewa mambo ya haki za binadamu, na hapo ndipo utajua tatizo si Usukuma, ni ushamba. Na ushamba huu upo makabila mengi Tanzania, hao Wasukuma unawaona sana kwa sababu wapo wengi na wanapenda kupiga kelele tu.

Kigwangalla na Ummy Mwalimu si Wasukuma, lakini nao washatoa kauli homophobic.

Homophobia kwa nchi kama Tanzania ni chaka la kujificha kila mtu kuanzia wanasiasa walioshindwa kazi mpaka wananchi wajinga na wanaoogopa, wanaotafuta kitu cha kukiamini

Kama Usukuma ndiyo sababu, mbona mimi ni Msukuma na sisemi hivyo?

Dr. Augustine Mahiga si mtu wa Pwani, lakini aliijua dunia.

Mbona Makonda alivyoleta maneno yake ya kuandama mashoga, Dr. Mahiga alimkama na kusema hayo ni maneno yake binafsi Makonda, si ya serikali?

Kwani Dr. Mahiga ni mtu wa Pwani?

Mbona Magufuli Msukuma hakumtetea Msukuma mwenzake Makonda kama hili ni jambo la Wasukuma, akaacha msimamo wa serikali usemwe na Dr. Mahiga?

Acheni ujinga wa ukabila.

Tanzania kuna ujinga upo makablla yote, mulikeni ujinga, acheni kitafuta majibu ya matatizo ya ujinga wa kitaifa kwenye ukabila.
 
Hata Marekani Trump hataki huu upumbavu, amepiga marufuku Transgender kwenye jeshi la Marekani ni Male and Female jinsia ni mbili.
 
Na haya mavyakula ya kizungu tunayokula mimi siyaamini, nimeacha kabisa kula hovyo yanatuletea vitu vya ajabu tu🚮
Inawezekana lakini sio kwa asilimia kubwa hivyo..
Me binafsi naona tatizo kubwa tukiacha mambo ya homon ni wanaume wenyewe kupenda mtelemko..
 
Inawezekana lakini sio kwa asilimia kubwa hivyo..
Me binafsi naona tatizo kubwa tukiacha mambo ya homon ni wanaume wenyewe kupenda mtelemko..
Hormone iko kwa uchache sana wanaisingizia tu! Hali imekuwa ngumu sana na hizi tamaa za kumiliki mali plus mambo ya kishirikina, mwingine anaona hana cha kupoteza kwahiyo anajitupa tu huko wala sio issue ya hormones, jitu limekomaa linatisha eti hormones mambo ya kishenzi sana!
 
Hizi tamaa ndio adui mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…