Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaleta taharukii wewe hapa.
 
Nafikiri watu wa bara wanapiga kelele zaidi kwasababu huko kwao hayo mambo ni chukizo...

Watu wa pwani huenda ushoga ni mambo yao...

Namkumbuka yule askari mzenji aliyeonekana kwenye video mjongeo akikatikia mboo, naishiwa hamu manina...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huna baya wee mzee. Wape somo hawa Washamba.
 
Mnapo zungumzia Ushoga, lazima muhusishe DINI, ila uzinzi, ukahaba, na uasherati DINI mnakataa kuitumia? Mko sawa nyie?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio maana Mtibeli aliwaita watoto wa haramu wakapanic sanaa, wanasema uzinzi ni haramu lakini wanahalalisha matokeo ya uzinzi
 
Ndio maana Mtibeli aliwaita watoto wa haramu wakapanic sanaa, wanasema uzinzi ni haramu lakini wanahalalisha matokeo ya uzinzi
Hawa ndio maana wanaburuzwa kila uchwao, hawana wanalolijua kichwani mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…