Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sijui kama nimewanyanyapaa, ila kama watatafdiri hivyo ni sawa tu.
Umewanyanyapaa, ila inawezekana wewe ni mjinga sana hujajua kuwa umewanyanyapaa.

Wewe ni kama samaki ambaye anaishi kwenye maji miaka yake yote, kashayaziea hayo maji mpaka hajui kuwa haya ni maji, hajui kitu kinhine tofauti na hayo maji.

Umezoea kunyanyapaa mpaka hujui huku ni kunyanyapaa.

Na unaishi kwenye jamii ambayo haiheshimu uhuru wa mtu binafsi na imezoea mpaka watu kutekwa tekwa ovyo na kuuawa uawa kama wadudu tu, na minority rights haziheshimiwi, kwa hiyo kumnyanyapaa mtu wa minority si ajabu.

Ndiyo maana unamnyanyapaa mtu halafu hujui kuwa unamnyanyapaa.

Jamii yako isha normalize kunyanyapaana, kupigana, kuuana.

Haina utu.

Mpaka rais anawaua halafu anawaambia "kifo ni kifo tu".

Mshazoea kunyanyapaliwa na kunyanyapaana wengine mpaka mnaona ni sehemu ya kawaida ya maisha tu.

Wakati si kawaida ni dalili ya ushenzi na kutothamini utu wa mtu mwingine na uhuru wake kwenye mambo yake binafsi.
 
Sidhani kama kutaka kujua kinachofanya watu wawe mashoga ni kuwanyanyapaa, ni sawa na kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali.

Au kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali nako ni kuwanyanyapaa?
 
Sidhani kama kutaka kujua kinachofanya watu wawe mashoga ni kuwanyanyapaa, ni sawa na kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali.

Au kutaka kujua kinachowafanya watu kuwa marijali nako ni kuwanyanyapaa?
Hujataka kujua, ungetaka kujua usingetumia lugha ya kunyanyapaa.

Au pengine kama nilivyosema, wewe ni mjinga sana kwenye haya mambo (ujinga kwa maana ya kutokujua kitu, si tusi), hujui tofauti ya kutaka kujua na kunyanyapaa, kile wewe unachokiona kutaka kujua ni kunyanyapaa.

Ni kama mzungu akaja na kuwauliza watu weusi "Why are you niggers so black?"

Yani hata kama hajui neno "niggers" kulitumia yeye ni neno la kunyanyapaa, na anataka kujua kwa nini hao watu ni weusi tu, huo ni ujinga wake tu, lakini kashawanyanyapaa kwa kutumia hilo neno.
 
Ooh! Basi mashoga wote wanisamehe kama nimewakwaza.

Pia wajiamini bila kujali nini watu watasema juu yao, maana si kila mtu atapendezwa nao.
 
Ooh! Basi mashoga wote wanisamehe kama nimewakwaza.

Pia wajiamini bila kujali nini watu watasema juu yao, maana si kila mtu atapendezwa nao.
Mimi sikulaumu najua unaishi katika jamii yenye matatizo mengi sana.

Jamii ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, na kila mnyonge amtafute mnyonge wake wa kumnyanyapaa ili kupunguza makali ya unyonge wake na yeye anavyonyanyapaliwa".

Menhine mnayafanya bila kujua hili.

Mshapigwa sana na serikali, na wanasiasa, na wqganga wa kienyeji, na mabosi, na viongozi wa dini, na wenye hela, wengine mpaka na wake zenu, sasa mkitafuta pa kutolea hasira, watu rahisi kabisa wa kuwashambulia ni mashoga.

Yani naweza kukulaumu wewe kwa kunyanyapaa, wakati huna jinsi, hata lugha yako yenyewe imekaa kunyanyapaa.

Una matatizo, lakini tatizo kubwa zaidi si wewe ni jamii yako, kuna matatizo ya kijamii kwenye jamii yako.

Hilo neno mashoga lenyewe ni la kunyanyapaa.

You don't even have the words!
 
Ili nisiendelee kuwanyanyapaa, kwa kuwaita mashoga, niambie ni neno gani sahihi nitumie kuwaita. Kama hutajali.
 
Ili nisiendelee kuwanyanyapaa, kwa kuwaita mashoga, niambie ni neno gani sahihi nitumie kuwaita. Kama hutajali.
Nishakueleza kuna tatizo la kijamii hata lugha yako haina maneno sahihi yanayoeleweka katika jamii.

Shoga is basically equivalent to "sissy" in English, which is offensive.

On top of that, it is inexact and poorly defined.

But then again, exactitude and definition is not a big priority in your culture.
 
Kwa heshima yao nitawaita wapenzi wa jinsia moja.
 
Kuna mmoja alifanyiwa sherehe eti ya "kufagia" ni nini hiyo? Ila niliambiwa ni mambo ya kishoga, niliishiwa nguvu.
 
 
My Take
Sio mara Moja hili kanisa linakuwa na kashfa za Ulawiti Kwa Watoto unaofanywa wa makasisi wake licha ya kukanusha mara Kwa mara.

Sasa imefika mahala waone misimamo Yao kwamba haifai na Haina Msaada Kwa jamii ya Sasa zaidi ya kuchochea Ulawiti na ushoga.


Angalizo :
Mods hii sio mada ya kidini ni mada ya kijamii.
 
Mimi naona tukupe wewe hiyo KAZI wawe wana kufira, kupunguza NYEGE.
 
Mkristo ni Binadamu,Ukristo ni Dini.
Binadamu Hajakamilika,Ila Dini Imekamilika.

Tusiibebeshe Dini Mapungufu Ya Tabia Za Watu Hakuna Anaelezamishwa Kuwa Padri,Askofu Wala Hakuna Anaelazimishwa kuwa Sister Ukiona Ni Ngumu/Huwezi kuzifata Sheria/Taratibu Za Upadri/Uaskofu/ au Usister Usiingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…