Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

mlete tumpe counselling 0783 252 625
 
Wewe hizo ni assumption zako na sio kweli,kuna wengine baba na mama ndio wamewalea but wako hivyo

wala sio uongo,familia ambayo baba hayupo ama yupo ila analega lega kusimama na familia yake lazima mwisho uwe watoto wa kiume kupukuchuliwa.
 
Yaache yaongezeke tu tutayashugulikia ipasavyo wacha walembue macho na kulegeza viuno tutawafumua tu hayo malinda
Na ndio yanachokitaka..halafu mbona usubiri yaongezeke si uanze tu huo ufuska hata sasa mana hata yaliyopo huwezi yamaliza hatakama uwe unatindua mawilimawili kila siku.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Mungu atusamehe maana hii Ni rahana
 
wala sio uongo,familia ambayo baba hayupo ama yupo ila analega lega kusimama na familia yake lazima mwisho uwe watoto wa kiume kupukuchuliwa.

Bado sio kujustfy maana wengi wa hayo mashoga yana baba na mama kabisa
 
Kwa kweli muziki wa Pwani hasa Dar unahamasisha sana upumbavu.
 
Kanda ya Ziwa mashoga wengi sana
Hakuna hayo mambo kanda ya ziwa, nimeishi sana, japo kuna lihindi moja libonge ndo lilikuwa shoga Musoma nzima ikawa inalitenga
 
naomba toleola TECNO original nitakuongeza fedha ununue mbili.
Original maana yake nimekiunda mimi mwenyewe bila kuiga mtu kuanzia jina na mengine..ubora uwepo au usiwepo hilo halijalishi.

Kwa maana hiyo Tecno smartphone ni original product kutoka kampuni hiyo..lakini ubora ndo tunao u-question hapa.
 
Original haziuzwi Africa na hakuan super dealer East Africa, pole, elewa unatumia simu feki, hilo tu mengine ni perepeche hazisaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…