Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
mlete tumpe counselling 0783 252 625Hata humu tunaye mmoja! Amemfuata dada wa watu pm, akamuomba amtafutie eti mtu wa kumtekenya......! Inawezekana ikawa kweli aisee!!
Na hizo chips yai mnazoshindia huko Dar, ndiyo zinawaongezea matatizo zaidi. Poleni sana. Huku Vijijini tuliko, kuna unafuu sana.