Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hili suala siku hizi limekuwa wazi wazi.
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
 
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...

Wazo zuri ila haliwezekani kwa nchi yako hii yatembeza bakuri,mana moja ya mashart ya mikopo hiyo ni kuwalinda hao mapunga.
 
Hizi mbanga soon zitahalalishwa soon...na vile bimdashi sir'hundred anawapenda sana watoa mikopo basi tutegemee hizi mbanga kuhalalishwa kwa njia zozote zile...

Unateseka sana. Jamii ishaharibika kitambo na huwezi iweka sawa.
 
inayokataza ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni dini,sio wazungu.dini hiyo hiyo pia inakataza ushoga.

usiibebe dini kwenye ujinga wa wazungu,hao hata ndoa kwao zinavunjika na wanaoa tena pamoja na dini kukataa.

dini itaendelea na misimamo yake milele,ndoa za jinisa moja na ushoga ni dhambi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili unalozungumza wee halitokaa litokeee.
 
Jaribu kuoa hata wake 20 uone kama kuna mtu anakuzuia, mnawasingizia wazungu kila matatizo yenu kama mazombi wasio na akili au uwezo wa kufanya chochote bila remote yao.
 
Kumekuchaaaaaaa!!!

Muhimu uli ondokaaa, maana mengine hayakua yanakuhusu.

Muwage buzz na mambo yenu, watakatifu nyiee. Lol
 
Jaribuuu uonee na uthibitikee ndo utajuaa mbivu na mbichii, ukienda jelaa wee ndo unakuwa mke waa nyaparaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa utakua umefanya nn?
 
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
Kumekuchaaaaaaaaa!!!
Mazito hayaa uwiiiiiiii.
 
Jaribu kuoa hata wake 20 uone kama kuna mtu anakuzuia, mnawasingizia wazungu kila matatizo yenu kama mazombi wasio na akili au uwezo wa kufanya chochote bila remote yao.
Wanachekeshaa mnooo hawa watu, kila kitu wazungu, utadhan wazungu ndo wana wasimamia pembeni yao khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mngepambana kwanza na umaskini muumalize, mjiletee maendeleo.

Nchi hii bado kuna watu wengi wanatumia maji ya madimbwi pamoja na mifugo, kuna watu bado wanaishi kwenye nyumba za nyasi, kuna watu wana wototo wanaenda shule kaptura zimetoboka, kuna wanafunzi wanasoma wamekaa chini, hospitali zina mlundikano wa wagonjwa, kuna sehemu wakati wa mvua kusafiri katika barabara ni sawa na kubeti.

Hayo na mengineyo ndio matatizo mnayotakiwa kujielekeza kuyamaliza, sio kupambana na watu wazima walioridhiana na walioamua kufanya mapenzi kwa mitindo wanayoona inawafaa wao.
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...
 
Kabisa, haya mambo tanaenda sambamba, Singel Mothers na Mashoga.
 
BASATA kwa muziki na vyombo vingine, sijui baraza la maadili hawafanyi kitu au hawafanyi vya kutosha kuhusu kudhibiti ushoga na vyanzo vyake...
Mashoga wana nguvu kubwa duniani, huwezi kupambana nao. Wameshika njia zote za kiuchumi na kijamii ndomana kuna wakati tulianzisha hilo vuguvugu la kupambana nao lakini ukaona faster zoezi likasitishwa! Dunia ilipofika ni aidha ukae kimya au uungane nao!
 
Hawa watu weupe naona Sasa wanaona kama MUNGU amesinzia maana siyo kwa dharau hizi. Yani wamejaribu kubana mataifa kujiunga naku kubali ushoga wanaona haitoshi wameamua Sasa wapeleke mtaala wa kishoga tena kwa Hawa Malaika. Tukemee jamani. Watanzania mnaoishi huko mambele rudisheni Watoto waje wasome nyumbani.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…