Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ushoga upo tangu enzi za Sodoma na gomola. sasa ww unafactor zipi za kuongezeka miaka michache ijayo
Wanafiki hawa mkuu, wazee wa kuwanyooshea wenzao vidole! Unaweza kuta mwenyewe anapenda hayo mambo kaja hapa kutest mitambo
 

Hii ni moja ya facts na hatari sana katika kuzalisha mashoga,wazazi kujisahau mtoto wa kiume anaunganishwa na dada zake halafu wanazungushwa beach na mama

Au Mtoto wa kiume kutembea na mama yake muda Mwingi hasa anapoenda kwa Mashoga zake kusogoa

Inshort mtoto wa kiume akianza tu kujitambua anatakiwa kuandamana na Baba yake issue Inakuja siku hizi watoto wengi wanazaliwa out of wedlock’s au wanalelewa na single mamas kwahiyo ana kosa kwa namba moja au nyingine malezi muhimu ya Baba !

Kingine ni ule upendo wa mama zetu kwa watoto anashindwa kukubali at age of 5 huyu mtoto wa kiume ameshakuwa anahitaji kuanza kupata miongozo ya uanaume!wai wako busy kuwapamba na kuwavalisha na kuzunguka nao kwenye masaluni
 
GIZA LINATAWALA - WATANZANIA TUTUBUNI DHAMBI KWA AJILI YA TAIFA. LA SIVYO TUNAAGAMIA
 
Hata mimi pia ni baba na ni mzazi. Kama mtu anakutukana tu from nowhere, dawa yake ndiyo hii. Na hapa nilipo, nipo standby namsubiria.

Akinijibu tu, mimi na deal na baba yake! Wala sita deal na yeye. Mpaka pale akili yake itakapo rudi kuwa normal.
Acha upuuzi wengine huwa ni matusi proof dogo
 
Ndo ivo mkuu, unajua mtoto anaiga iga sana. Sasa kama wa kiume ataiga kwa yule anaendana nae sasa unakuta bahati mbaya hakuna wa kufanana nae inabidi acopy hivyohivyo avionavyo.
 
Nakuuliza tu, kwa akili yako jinsi inavyokutuma, hao mashoga wawili wangehamishiwa Dodoma kikazi na ukawafuma huko, ungesema na Dodoma hakutakuwa na wanaume miaka ijayo? Nauliza tu..
 
Madogo hao Achana nao! Nimewazoea wanatukana keyboard
Jitahidi kuishi kwa kuheshimu wengine. Mimi napenda kuona JF ikiwa kama sehemu ya kuleta furaha, kuondoa stress, kujenga urafiki, nk. Huo nachukizwa sana mtu akiniletea utani wa kipuuzi na wa kidhalilishaji.

Nimechangia mada, from nowhere unaanza kuni attack! Mimi siyo dhaifu hata kidogo. Na ushukuru tu kuna wadau wangu humu tunaheshimiana. Hivyo hawafurahishwi kuona najibizana na vi country bumkins!

Kinyume na hapo huu uzi ungechafuka. Maana mimi ni kati ya wale watu wanaopiga kwenye kidonda.
 
Ushoga unachochewa sana na single parenting upande wa mama

Yaan unamtreat mtoto wa kiume kama unavoush wew mama..mtoto wa kiume anaona chup za mama..makeup za mama...stori za mama na rafik zake..kias kwamba mtoto anakua amezungukwa na ulimwengu wa kike mwanzo mwishk maisha yake yote ya utoto na ujana kias kwamba haon jipya kwa wanawake yeye anaona kama wanaume wenzao tu

Hii inasababisha hata mwil kutotengeneza testosterone vya kutosha kias cha kufanya mwil uwe na mlengo wa kike automaticaly

Funzo hilo zingatien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…