Ni kweli kabisa na mapenzi kinyume na maumbile imekuwa jambo la kawaida kabisa hasa hapa dar pamelaanika.Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar
Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar....
Acha basi kutumia italics naona hujui matumizi yake. Naomba uendelee usiogope watu wanasema nini. Tapika nyongo yote kijana lakini mimi huwa siumizwi na matusi hata chembe. EndeleaJitahidi kuishi kwa kuheshimu wengine. Mimi napenda kuona JF ikiwa kama sehemu ya kuleta furaha, kuondoa stress, kujenga urafiki, nk. Huo nachukizwa sana mtu akiniletea utani wa kipuuzi na wa kidhalilishaji....
Haiwezekai majirani zenu Magomeni kuwe kumejaa mashoga halafu nyie Manzese mbaki salama, hakuna. Kama Nyerere alivyowahi kusea, bosi maji gha nyancha, wote ni wale wale.Itakuwa dar es laam maeneo ya kinondoni, Mbagala na viunga vyake
Pia na baadhi ya wanaume wa mikoani wakija dar wengine wanabadilika sana
Manzese tupo ma hardcore hatunaga ujinga huo
Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.Ushoga unachochewa sana na single parenting upande wa mama
Mfano dhahir ni mange kimambi jinsi anavyolea watoto wake....
Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga.Kwanini bunhe lisitusheria kali ikiwa ni pamoja na kuwatoa macho au kuwashona mkund..u na waya
Sio kweliHaya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga...
Halafu uyo jamaa amebugi sana kuileta hiyo link hapa. Ni kama ameipromote fln hvAiseee nimeingia kwenye hii link nimechoka khaaaaa
Hahaaa kweliNyie endeleeni na elimu ya majini. Unadhani kuna mtu ncha Mungu anayetaka kuwa shoga?
Vipi kuhusu kiringo jibaba zima linayevitifua vitoto vidogo vya kiume.Haya ni mawazo potofu kabisa. Ushoga siyo tabia ni jinsia mtu anazaliwa shoga, hajifunzi kuwa shoga hata aishi na mashoga, tena ulaya mashoga wanaoana na wanaruhusiwa ku adopt mtoto na analelewa na wazazi mashoga na anakuwa mtu wa kawaida kabisa siyo shoga...
Hao watoto wamebakwa hakuna justification yoyote ya kuwa mashoga hata mabinti wanabakwa ila siyo ndo watakuwa malaya.vp kuhusu kiringo jibaba zima linayevitifua vitoto vidogo vya kiume.
Wee unazani hivyo vitoto vikikuwa kwa kuendelea kuzoeshwa huo mchezo mchafu matokeo yake ni nini? kama sio kutengeneza kina james delicious na mashoga mengine mengi.
Hizi habari nazisomaga mtaani ila nikiingiaga mtaani sionagi mambo kama hayo nyie mnawaonaga wapi?
Mnawezaje kuwatambua watu kama ni shoga mi sijawai ona shoga zaid ya kusimuliwa na naishi darKwa sababu wanafanya siri mno. Nimeweka website yao kwenye comment juu uwaone wanafananaje.