Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Siyo kanunua kutokana na mshahara wake+madili yake matangazo [emoji1]

Ova
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
Yea. Watu wengi wakisikia ushoga wanawaza kutiana nyuma tu. Ila kuna wale watu unakuta anavutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie... au mwanamke anavutiwa na mwanamke mwenzie..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kanunua kutokana na mshahara wake+madili yake matangazo [emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa madili gani? Mbna mwanzo yule ex sponsor wake alimuanzishia biashara ya ununuzi wa mazao, watumishi wake wakampiga za uso ikafa chalii hata kusimamia alishindwa.

Huyu wa sasa kampa range atikise jiji akisha mchokaa anachukua mchuma wake anapita hivi.

Yaan lokole ana mshahara gan?? Matangazo yapi? Au mie ndo sielewiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize mwenzakee kaanza kuwa mlokoleee, chupu chupuu awe chuma ulete wa mzee wa mjengoni. Khaaaah
 
Jiduuuu[emoji38]
 
Nina mpango wa kuolewa na mwanaume wa pili, tatu mpaka kumi,
Kila mutu achague atakacho....
Ila kuzaa vitoto vya kiume kwa dunia ya sasa mwombe sana MUNGU awalinde
Hakuna wa kukuzuia ni wewe tu hata ukitaka saa hizi.
 
Kwani kila mtoto wa kiume ataleta fedheha ya ushoga? Una ujinsia na ushamba mwingi
 
Duh

Ova
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
Hoja kama hii yako hutolewa na mashoga au wenye kuvutiwa na mashoga.
 
Daah!! Nitolee gundu, nuksi na mikosi. Nyie watu siwapendi kabisa, nipotayari nikuue nikafie jela. Shoga, kaa mbali na mimi.
Umeua wangapii had sahivi keyboard warrior wee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh
 
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
Hizi siri zishafika mtaani?Duuh kweli bongo hakuna siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…