Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyempiga picha ndo aliye muhonga range.

Chimbo namuuliza hiyo Range bima na kadi unavyo, na vinasoma jina lako, etiii oooh ndo anashuvhurikia vikiwa sawa atanipaaa.

Najisemea wee chezeaa na terezeka naloo akikuchokaa anachukua chuma chake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kanunua kutokana na mshahara wake+madili yake matangazo [emoji1]

Ova
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
Yea. Watu wengi wakisikia ushoga wanawaza kutiana nyuma tu. Ila kuna wale watu unakuta anavutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie... au mwanamke anavutiwa na mwanamke mwenzie..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kanunua kutokana na mshahara wake+madili yake matangazo [emoji1]

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa madili gani? Mbna mwanzo yule ex sponsor wake alimuanzishia biashara ya ununuzi wa mazao, watumishi wake wakampiga za uso ikafa chalii hata kusimamia alishindwa.

Huyu wa sasa kampa range atikise jiji akisha mchokaa anachukua mchuma wake anapita hivi.

Yaan lokole ana mshahara gan?? Matangazo yapi? Au mie ndo sielewiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize mwenzakee kaanza kuwa mlokoleee, chupu chupuu awe chuma ulete wa mzee wa mjengoni. Khaaaah
 
Watanzania wenzangu kuna haja ya kuwajibu hawa wazungo koko.
Turudi kwenye mila zetu za zamani.

Heri mwanaume kuoa zaidi ya mke mmoja na hii itaeleweka kwenye jamii.
Kuoa wake wengi ni bora na ni afya kwa jamii kuliko upuuxi wa kushabikia ushoga.

Sasa hili naliona ni lengo langu kuoa mke mwingine na baadaye wa tatu kama njia ya kuwapinga wazungu na ushiga wao.

Au mnaonaje wajameni?
Jiduuuu[emoji38]
 
Pevert males!!!
Juzi kati mume aliniambia anataka tuasili / adopt mtoto bcs ni plan yetu ya kitambo hata kabla ya kuoana. Akaniambia nichague jinsia na nimchague huyo mtoto within six month time ila asiwe ndugu.

Straight forward nilimwambia nataka wakike, hata kama atanipitisha pagumu ila fedhea za ushoga bora za ukicheche
Kwani kila mtoto wa kiume ataleta fedheha ya ushoga? Una ujinsia na ushamba mwingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa madili gani? Mbna mwanzo yule ex sponsor wake alimuanzishia biashara ya ununuzi wa mazao, watumishi wake wakampiga za uso ikafa chalii hata kusimamia alishindwa.

Huyu wa sasa kampa range atikise jiji akisha mchokaa anachukua mchuma wake anapita hivi.

Yaan lokole ana mshahara gan?? Matangazo yapi? Au mie ndo sielewiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amuulize mwenzakee kaanza kuwa mlokoleee, chupu chupuu awe chuma ulete wa mzee wa mjengoni. Khaaaah
Duh

Ova
 
Issue ya Ushoga kuwa halali ni suala la muda tuu, kwa sababu hatuna hoja zenye mantiki za kupinga, tunakurupuka tuu kujibu kwa kutumia hisia, sio akili.
Hoja kama hii yako hutolewa na mashoga au wenye kuvutiwa na mashoga.
 
Daah!! Nitolee gundu, nuksi na mikosi. Nyie watu siwapendi kabisa, nipotayari nikuue nikafie jela. Shoga, kaa mbali na mimi.
Umeua wangapii had sahivi keyboard warrior wee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh
 
Kwani amjui jinsi makada wa chama cha mambuzi walivyo kwenda mombasa kumgombea kiongozi wao aliye olewa mombasa na yule msagaji kupewa majukumu magogoni
Hizi siri zishafika mtaani?Duuh kweli bongo hakuna siri
 
Back
Top Bottom