mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Siyo kanunua kutokana na mshahara wake+madili yake matangazo [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyempiga picha ndo aliye muhonga range.
Chimbo namuuliza hiyo Range bima na kadi unavyo, na vinasoma jina lako, etiii oooh ndo anashuvhurikia vikiwa sawa atanipaaa.
Najisemea wee chezeaa na terezeka naloo akikuchokaa anachukua chuma chake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova